Mshuhudie Emmanuel Nchimbi, Makamu wa Rais aliyepokwa uanachama wa chama chake na kuondolewa katika ofisi yake kuu kwa sababu ya:Vingereza vya nini sasa ndo Maana nakaaga jukwaa la Mapenzi,
Lissu si muhaini
Pia nauliza Mbona hawasemi kosa la NCHIMBI hadharani? Wanaficha nini?
Kafanya nini mkuuNimeona leo kijana Wangu Bashungwa kani disappoint sana yan
Ninaona mitanganyika Kazi ipo sana kujitambua
Nimesikitika kabisaMaisha bhana! Bashungwa kawa chawa yaani
Hivi hii courage ya kuandikaga kama hivi wenzangu huwa mnaitoa wapi.?.Hakuna kitu unajua, unajiokotea tu habari na kuweka....... !!!!
Kama aliomba angepata, guarantee 💯Aliomba Asylum baadhi ya nchi za ulaya zikazingua.
If he is really now a piscis vivus how will he survive the irregular currents?Behold Emmanuel Nchimbi, the Vice President who was stripped of his party membership and ousted from his exalted office on account of
1. Advocating for the populus, citizens subjected to extrajudicial abductions by the constabulary in Tanzania
2. Championing a de jure metamorphosis of the Constitution mutatis mutandis
3. Vehemently repudiating intra muros within the ruling party and the State the modus operandi of state sanctioned homicides during the General Election
4. Acting as defensor civium ,audaciously defending opposition leaders within the sanctum of the ruling party's conclaves.
He is not a cadaverous fish drifting pro forma with every current. He is piscis vivus , a LIVE FISH that defies the torrent and swims contra fluxum. For it is piscis mortuus alone the dead fish that invariably follows the direction of every water. Vox populi, vox Dei.
View attachment 3662609
View attachment 3662610
Britanicca
hapana mkuu, hiyo sio hadaa..kumfuta uanachama ni doa kwakwe kwani amekosa maadili hivo kama siasa zitakuwa za upana na uwazi kama watamsimamisha itawapunguzia marks ikiwa upinzani utakuwa imara na tukiwa na KATIBA MPYA...sioni kama watamsimamisha.Hongera sana Mkuu.
Kiingereza chako kimeenda shule.
Inaonekana elimu ipo ya kutosha sio ya hapa na pale.
NAOMBA NIANDIKE KWA KISWAHILI ILI IWE FAIDA KWA WENGINE.
Mimi imani yangu inaniambia CCM wanatuhadaha watanganyika, Wanamtengeneza Mgombea Imara wa Chama Chao mwaka 2030.
Naamini Nchimbi atagombea urais Mwaka 2030 CCM.
Kikwazo ni mkwere. Inaonekana alijiandaa siku nyingi sana sana. Haya tunayoona sasa ni maandalizi ya muda mrefu. Samia hana jeuri ya kukaa pale hata kwa siku moja ikaisha bila huyu mkwere. Ukitaka kumaliza kila kitu deal ya huyu.Alipaswa asubiri Samia akenda kuzurula ajitangaze
Kama Samia alisimamishwa na ''akapita'' wewe unazungumzia doa gani? Kama hili ''chogo brazaman'' la misheni town limeweza kuwa makamu ni nini kitashindikana? Kuhusu katiba mpya.... Ikipatikana katiba mpya ya wananchi kwa maslahi ya wananchi, CCM haiwezi kupita kwa namna yoyote, hata wamsimamishe nanihapana mkuu, hiyo sio hadaa..kumfuta uanachama ni doa kwakwe kwani amekosa maadili hivo kama siasa zitakuwa za upana na uwazi kama watamsimamisha itawapunguzia marks ikiwa upinzani utakuwa imara na tukiwa na KATIBA MPYA...sioni kama watamsimamisha.
risasi zinalia kidogo. Aliyetangaza anakubalika zaidi,picha linaisha. watu flani wanaanza ukimbiziMamluki wangekubali?
Wenye rangi ya cobra/chatu na vyuma vikali wangekubali kumuunga mkono ?Alipaswa asubiri Samia akenda kuzurula ajitangaze
Huyu anaitwa Emmanuel Nchimbi, Makamu wa Rais alofukuzwa uanachama na kupoteza nafasi yake kisa
1. Kutetea wananchi wanaopotezwa na polis Tanzania
2. Kudai mabadiliko ya Katiba
3. Kupinga Ndani ya Chama na serikali Mauaji kipindi cha Uchaguzi Mkuu
4. Kuwatetea sana viongozi wa vyama vya Upinzani Ndani ya vikao vya Chama Tawala,
ninaweza kumuona Kama Samaki aliye hai hafuati mwelekeo wa kila maji, is not the dead fish which always follow the direct of every water