Nchimbi is not a cadaverous fish drifting pro forma with every current. He is piscis vivus

ok.πŸ’
 
Hivi alishiriki uchaguzi na alipiga kula siku ya kupiga kula?
 
How can we protect this man,from blood thirsty carnival!!?

Now that Humphrey is no more,and this one is locked πŸ”’ somewhere!!
 
hao uliowataja hawakufukuzwa kama mbwa aliyeiba mayai..KATIBA MPYA ni muhimu sana katika uwazi.
 
Remember,Britanicca,about a week ago you told us that the TZ mier will be replaced come this week.
 
Mutatis mutandis πŸ˜ƒ I guess this was not intended for lay man
 
Vingereza vya nini sasa ndo Maana nakaaga jukwaa la Mapenzi,
Lissu si muhaini

Pia nauliza Mbona hawasemi kosa la NCHIMBI hadharani? Wanaficha nini?
Mwandishi anataka kusema kwamba Nchimbi alikuwa mtu aliyekuwa na msimamo wake mwenyewe, hakufuata tu kila kitu alichoelekezwa na mfumo au chama. Alidai mabadiliko ya Katiba, alitetea wananchi na viongozi wa upinzani, na alipinga vitendo alivyoviona kuwa vya ukandamizaji. Ndiyo maana anamlinganisha na samaki aliye hai anayeogelea kinyume cha mkondo, badala ya samaki mfu anayesombwa na maji.
 
Tafsiri hii ndiyo imekaa vizuri zaidi japo hata ya britanicca mwenyewe nayo Iko poa pia with some few slight differences
===========
britanicca πŸ‘‡πŸ‘‡
Huyu anaitwa Emmanuel Nchimbi, Makamu wa Rais alofukuzwa uanachama na kupoteza nafasi yake kisa
1. Kutetea wananchi wanaopotezwa na polis Tanzania
2. Kudai mabadiliko ya Katiba
3. Kupinga Ndani ya Chama na serikali Mauaji kipindi cha Uchaguzi Mkuu
4. Kuwatetea sana viongozi wa vyama vya Upinzani Ndani ya vikao vya Chama Tawala,

ninaweza kumuona Kama Samaki aliye hai hafuati mwelekeo wa kila maji, is not the dead fish which always follow the direct of every water
 
Nimeona leo kijana Wangu Bashungwa kani disappoint sana yan

Ninaona mitanganyika Kazi ipo sana kujitambua
Bashungwa kafurahi sana sababu nae ICC inamsubiri alikuwa anamuona kiranja msaidizi kuwa hatari zaidi, na anaamini labda ndio chanzo cha yeye kutokuwema kwenye uwaziri, sasa anajipendekeza aonekana apate teuzi yeye na Simbachawene wanasafiria kuanguka kwa Nchimbi. Hivi huyu Bashungwa ni Mtanganyika kweli?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…