Nchimbi is not a cadaverous fish drifting pro forma with every current. He is piscis vivus

Hiyo ni lugha ili kuwasiliana na kuelewana au ni kamusi kongwe imeachwa barabarani?
 
Vijana wa zamani itawakumbusha lugha ngumu ya "Mzee Punch" pale UDSM kupitia mabandiko yake.
 
Nimeona leo kijana Wangu Bashungwa kani disappoint sana yan

Ninaona mitanganyika Kazi ipo sana kujitambua
Kama ni kweli kwamba nchimbi alitoa ushahidi huko USA juu ya mauaji ya October 29.Ni rasmi lazima innocent anajijua atatiwa hatiani coz alikua waziri wa mambo ya ndani!!

Kwa hofu ya hatia lazima a sapoti maamuzi toka juu ya nchimbi!
 
Kimama kinatamani kipate sifa peke yake na roho yake nyeusi kama masizi hakitaki watu wanaotetea wananchi kilianza na Mwita Waitara, Liberata Mulamla, Polepole, Lissu, Simbachawene na sasa Nchimbi.
 
Did the dude cast the vote for the party on 29th Oct.2026? If he did that is another hog smigo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…