Kiburi cha madaraka bhana!Mgombea Mwenza wa Urais kupitia CCM, Dkt. Emmanuel Nchimbi amemuomba Luhaga Mpina arudi haraka kwenye Chama chake cha awali CCM na ameahidi atampokea kwa mikono yote miwili.
Akiongea akiwa katika Jimbo la Kisesa Mkoani Simiyu leo September 02,2025, Nchimbi amesema “Atakayempigia simu Mpina amwambie Kaka yake mkubwa alipita hapa na mwambieni hasiponipigia kura atakuwa amekosa adabu ya kisukuma kabisa maana nilipopita si aliwaambia kwamba Mimi Kaka yake, mwambie Kaka yako alipita hapa na anasubiri akirudi tena anataka urudishe hiyo kadi ya Chama chako kipya urudi CCM na Mimi nitapokea kadi ya Mpina Mimi mwenyewe simtumi Mtu yoyote”
Mpina alikuwa Mbunge wa Kisesa kupitia CCM ambapo baadaye alishindwa kwenye mchakato wa kura za maoni na akahamia ACT Wazalendo ambako aliteuliwa na Chama hicho kugombea Urais lakini Msajili wa Vyama vya Siasa amemzuia kugombea baada ya Mwanachama wa ACT Monalisa Ndala kupeleka malalamiko akidai Mpina hajatimiza vigezo vya kugombea na sasa kesi ya suala hilo ipo Mahakamani.
Hapo kwenye R weka NAngalau lugha ni ya kirafiki.
Kama Gambo, Mpina hakuruhusiwa kuingia hata kwenye kura ya maoni.Mgombea Mwenza wa Urais kupitia CCM, Dkt. Emmanuel Nchimbi amemuomba Luhaga Mpina arudi haraka kwenye Chama chake cha awali CCM na ameahidi atampokea kwa mikono yote miwili.
Akiongea akiwa katika Jimbo la Kisesa Mkoani Simiyu leo September 02,2025, Nchimbi amesema “Atakayempigia simu Mpina amwambie Kaka yake mkubwa alipita hapa na mwambieni hasiponipigia kura atakuwa amekosa adabu ya kisukuma kabisa maana nilipopita si aliwaambia kwamba Mimi Kaka yake, mwambie Kaka yako alipita hapa na anasubiri akirudi tena anataka urudishe hiyo kadi ya Chama chako kipya urudi CCM na Mimi nitapokea kadi ya Mpina Mimi mwenyewe simtumi Mtu yoyote”
Mpina alikuwa Mbunge wa Kisesa kupitia CCM ambapo baadaye alishindwa kwenye mchakato wa kura za maoni na akahamia ACT Wazalendo ambako aliteuliwa na Chama hicho kugombea Urais lakini Msajili wa Vyama vya Siasa amemzuia kugombea baada ya Mwanachama wa ACT Monalisa Ndala kupeleka malalamiko akidai Mpina hajatimiza vigezo vya kugombea na sasa kesi ya suala hilo ipo Mahakamani.
Atarudi ni project ya CCMMumdhalilishe na kumnyanyasa halafu mumuamuru arudi?Atakuwa hopeless sana alifanya hivyo.
Kama wana makubaliano ni vema.Atarudi ni project ya CCM
Ni maigizo tupuKama wana makubaliano ni vema.