Li ngunda ngali
JF-Expert Member
- Jun 22, 2023
- 707
- 2,572
Dotto ni mzee wa kujifanya hana tatizo nawe ilhali analo moyoni.Mbona wanafanya na Dotto? 🐼
Ugumu upo kwa sababu ni chui na paka!Sioni Kama Kuna ugumu mkuu....
Swali linaonesha pia wanaogopanaUgumu upo kwa sababu ni chui na paka!
Wao ndiwo wanamwogopa Bashit..kwa sababu anabebwa na mteuzi wao.Swali linaonesha pia wanaogopana
HahahKumbe Makonda ndiye mrithi wa Kinana? Safi sana
Unaamini anabebwa? Mteuzi ukimwegamia Sana anatoka mahala alipokaa bila taarifa na utaishia kuangukaWao ndiwo wanamwogopa Bashit..kwa sababu anabebwa na mteuzi wao.
Watajuana bwana.......Bashi.....ni noma.Makonda atawanyoosha sana hawa wanaojiita watoto wa mjini
Jamaa nyota yake kwa huyo mama ni zaidi ya nyotaaaa!Watajuana bwana.......Bashi.....ni noma.
Makonda akiwa Makamu CCM watazoa kura zoteNauliza tu tena kwa upendo, je, mpo tayari kufanya kazi na boss wenu mpya ( Bashi..)?
Chama cha Mapinduzi (Halmashauri kuu) kinatarajiwa kuitisha kikao cha dharula hivi karibuni ili pamoja na mambo mengine ni mahsusi kwa ajili ya uteuzi wa makamo wa Mwenyekiti wa Taifa wa Chama baada ya alyekuwapo bwana Kinana kujiuzulu.
Wawe makini wasisahau kuachia viti vichache kwa wapinzani, ili wasije kufanya kama yale Covid 19.Makonda akiwa Makamu CCM watazoa kura zote
Alimtabiria maisha BMK nadhani ndiye Sheikh Yahaya wakeJamaa nyota yake kwa huyo mama ni zaidi ya nyotaaaa!
No kipindi kile kulikuwa na mambo mengi.Wawe makini wasisahau kuachia viti vichache kwa wapinzani, ili wasije kufanya kama yale Covid 19.