Poppy Hatonn
JF-Expert Member
- Apr 9, 2021
- 4,042
- 6,854
Poppy Hatonn anasema watu wengi hawakujitokeza kupiga kura, which is true, sasa sijui ile voter turnout ya zaidi ya 95% ilipatikana vipi!October 2025 hakukuwa na uchaguzi bali kuna kundi la manyang'au yalijitangaza kushinda kwa 98%.
Nimekipitia hiki kitabu nimejikuta nalia bila kujua.BABA YAKO.
MWALIMU NYERERE ANAMALIZA KWA USHAIRI KWENYE KITABU CHAKE, UONGOZI WETU NA HATMA YA TANZANIA.
Ole wake Tanzania Tusipoisaidia
Niwezalo nimelifanya kushauri na kuonya.
Tahadhali nimetoa ushauri na kuonya nimeshatoka kitini zaidi nifanye nini.
Namlilia Jaalia atumulikie njia Tanzania ailinde WAOVU wasiishinde.
Amina Tena Amina Amina Tena amina
UONGOZI WETU NA HATMA YA TANZANIA.
MWALIMU JK NYERERE
Asante Kaka Mkubwa katika ubara wako, enzi za Mshure wako, walikufa mahabusu 4 tuu, mikononi mwa polisi, Mzee wako alikasirika sana!, akawaadhibu kuanzia VP2 wake Rashidi Kawawa, mawaziri wa Mambo ya Ndani Ali Hassan Mwinyi na wa Usalama wa Taifa, Peter Siovelwa wakajiuzulu, akawastaafisha kwa manufaa ya umma IGP -Pundugu, DGIS -Mzena, na Kamishna Mkuu wa Magereza -Mwanguku, akawatengua ma RC wa Mwanza -Kisumo na Shinyanga -Mabawa, halafu watendaji wakuu wa vyombo vya ulimzi mkoani, ma RPC, RSO, OCD na DSO, wakafikishwa kwa Pilato kwa kupandishwa kizimbani Kesi ya Mauaji Mwanza na Shinyanga, zikarindima.But there is this minor problem of the October 29 election violence.
How minor was the problem?
Can it be swept under the carpet?
Hilo ndilo swali ambalo linatafutiwa majibu..