Cute Wife
JF-Expert Member
- Nov 17, 2023
- 1,906
- 5,000
Wakuu,
Kumbe kuna watu wanapigana kupata nafasi ya kujua tanzanania tunaishije kama tupo Dubai na watu hamseni? Mna siri nyinyi

Watanzania wanasema katika mikutano kasi ya maendeleo iliyopatikana katika miaka hii 4 hawajawahi kukutana nayo. Waswahili wanasema chema chajiuza na kibaya chajitembeza.
Soma, Pia: Padre Dkt. Kitima: Zipo nchi siku hizi zinakuja kujifunza siasa chafu Tanzania
Serikali ya CCM chini ya Rais Samia inajiuza kwa kazi nzuri ambazo imezifanya kwa miaka hii minne. Rais Samia na serikali yake ya CCM wamefanya kazi za mfano sana.
Changamoto inayotusumbua sasa kuliko zote ni maombi kutoka watu mbalimbali nchi za jirani kutaka kuja kujifunza Samia amefaje, wanataka kujifunza sisi tunafanye chini ya Rais Samia, wanataka kujifunza kasi hii ya maendeleo imepatikanaje, utulivu na amani vinapatikanaje.
Kupata taarifa na matukio ya kimkoa kuhusu Uchaguzi Serikali za Mitaa ingia hapa: LGE2024 - Special Thread: Orodha ya Mijadala ya Mikoa yote Tanzania Bara inayoshiriki katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024