Kumbe kuna watu wanapigana kupata nafasi ya kujua tanzanania tunaishije kama tupo Dubai na watu hamseni? Mna siri nyinyi
Your browser is not able to display this video.
Watanzania wanasema katika mikutano kasi ya maendeleo iliyopatikana katika miaka hii 4 hawajawahi kukutana nayo. Waswahili wanasema chema chajiuza na kibaya chajitembeza.
Serikali ya CCM chini ya Rais Samia inajiuza kwa kazi nzuri ambazo imezifanya kwa miaka hii minne. Rais Samia na serikali yake ya CCM wamefanya kazi za mfano sana.
Changamoto inayotusumbua sasa kuliko zote ni maombi kutoka watu mbalimbali nchi za jirani kutaka kuja kujifunza Samia amefaje, wanataka kujifunza sisi tunafanye chini ya Rais Samia, wanataka kujifunza kasi hii ya maendeleo imepatikanaje, utulivu na amani vinapatikanaje.

Milioni 700 kwa wachezaji wakati kuna shule nyingi za hivi. Hii si swa! Hata Mtume wetu (SAW) haimpendezi! Soma => Rais Samia aipa Taifa Stars Milioni 700 kufuzu AFCON Shule hii iko Mtwara chini ya mkorosho https://x.com/i/status/1859222546731659665
Tp Mazembe walikuja kujifunza kwa yanga namna ya kuendesha team Yao
Na Sasa team ya wanawake ya tp Mazembe ndio bingwa wa afrika wao waje tutawafundisha bure