Cute Wife
JF-Expert Member
- Nov 17, 2023
- 1,906
- 5,000
Wakuu,
Watanzania wanavipima vyama kwa haki kila inapofika uchaguzi nani katika hawa anaweza kutuongoza vizuri, na ndio maana marafiki zangu katika vyama vya upinzani napenda kuwashauri mara kwa mara kwamba punguzeni kugombana gombana, watanzania wakiona mnagombana gombana wanawadharau.
Ukifika muda wa uchaguzi wanaacha kuwapigia kura halafu baadaye mtasema kura zenu zimeibiwa lakini ukweli ni kwamba watu wanapiga hesabu wanasema kama wakiwa peke yao wanagombana, tukiwachanganya na sisi wasiyotujua si watatukaba kabisa?
Soma Pia: Special Thread: Orodha ya Mijadala ya Mikoa yote Tanzania Bara inayoshiriki katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
Ndio maana ni lazima watanzania watoe kauli ya wazi kabisa bila haya kwamba sisi kuonesha tunakerwa na magomvi tunachagua CCM.