Watanzania wanavipima vyama kwa haki kila inapofika uchaguzi nani katika hawa anaweza kutuongoza vizuri, na ndio maana marafiki zangu katika vyama vya upinzani napenda kuwashauri mara kwa mara kwamba punguzeni kugombana gombana, watanzania wakiona mnagombana gombana wanawadharau.
Ukifika muda wa uchaguzi wanaacha kuwapigia kura halafu baadaye mtasema kura zenu zimeibiwa lakini ukweli ni kwamba watu wanapiga hesabu wanasema kama wakiwa peke yao wanagombana, tukiwachanganya na sisi wasiyotujua si watatukaba kabisa?

Nchimbi atazidi kujulikana kuwa anayoongea si aliyonayo moyoni atasababisha asiamini na wala kuheshimika. Alisema msiwaengue wapinzani wakaengua na hakusema kitu. Anaweza kusema tendeni haki kwa washindi kumbe alishawaambia msiwatangaza kama Mwendazake.