Sijapewa username bado
JF-Expert Member
- Aug 15, 2024
- 1,775
- 2,891
Halafu Kuna milima, mabonde, mito, maziwa na bahari hapa Tanzania.Miji yao inamiundombinu ya kussuport usafiri wa baiskeli, Tanzania usafiri wa baiskiel mnapishana na malori na Watembea kwa miguu
Hahaha 😂😂Hapa bongo watoto huanza kuzoeshwa miguu, huanza kwa kutambaa,kisha wanashikiliwa watembee hadi miguu inapozoea, ni njia rahisi sana ya usafiri inayowasaidia watanzania.
Watanzania wengi huendelea kutumia miguu hata wanapokuwa watu wazima.
Hapa bongo watoto huanza kuzoeshwa miguu, huanza kwa kutambaa,kisha wanashikiliwa watembee hadi miguu inapozoea, ni njia rahisi sana ya usafiri inayowasaidia watanzania.
Watanzania wengi huendelea kutumia miguu hata wanapokuwa watu wazima.
Haha 😀 hatare!imebalansi hii hahaha kulingana na kuwepo kwa njia za chocho na panya road basi miguu inamuwezesha watanzania kufika kwa haraka wakaoenda
Ukagombee sasa Denis utuboreshee miundombinuMiji yao inamiundombinu ya kussuport usafiri wa baiskeli, Tanzania usafiri wa baiskiel mnapishana na malori na Watembea kwa miguu
Nikiwa Rais nchi nzima itapimwa
Hahaha unazingua mkuuHapa bongo watoto huanza kuzoeshwa miguu, huanza kwa kutambaa,kisha wanashikiliwa watembee hadi miguu inapozoea, ni njia rahisi sana ya usafiri inayowasaidia watanzania.
Watanzania wengi huendelea kutumia miguu hata wanapokuwa watu wazima.
Haha 😀Hahaha unazingua mkuu
Nchini Denmark, watoto huanza kujifunza kuendesha baiskeli wakiwa na umri wa takriban miaka 3. Huanzia na baiskeli zenye magurudumu ya msaidizi hadi wanapojifunza kudhibiti usawa. Wanapokomaa na kuanza shule, wengi huendesha baiskeli hadi shuleni—njia rahisi, salama na inayowajengea mazoea ya usafiri wa baiskeli hata wanapokuwa watu wazima.imebalansi hii hahaha kulingana na kuwepo kwa njia za chocho na panya road basi miguu inamuwezesha watanzania kufika kwa haraka wakaoenda
Mkuu utagombea kwa chama ganiMiji yao inamiundombinu ya kussuport usafiri wa baiskeli, Tanzania usafiri wa baiskiel mnapishana na malori na Watembea kwa miguu
Nikiwa Rais nchi nzima itapimwa
Yale ma Phonexhawatuzidi sisi, ulishawahi kufika shinyanga? tena za huku tanzagiza hata gia hazina …
Yale ma Phonex