Nchini kenya wabunge ni lazima wawe na shahada

Hl litasaidi kuondolewa kama Yule aliyeomba sanamu LA pale katkat ya jj
 
Kenya wana uzalendo ???!!!!??? Hakika Nilikuwa silijui hili, mi nilikuwa nadhani hadi sasa Kenya ni nchi tu si taifa, hivyo uzalendo wa kitaifa hawajafikia. Asante kwa taarifa.
Soma taratibu itanielewa .
 
Ungejaribu kutuambia hizo shahada za Kenya zimesaidia vp kuondoa ufisadi na kuleta maendeleo!
 
Kenya wana uzalendo hasa linapo kuja swala la kitaifa lakin tanzania tuna ubinafsi hasa tunapo jadili mambo ya kitaifa na hilo ndio litakalo sababisha nchi hii isiendelee kamwe.
Haya maneno unayosema ukiwa Kenya au Tanzania. Kenya hakuna umoja wa aina yoyote, Kenya kuna kulinda maslahi na kulinda kabila.
 
Haya maneno unayosema ukiwa Kenya au Tanzania. Kenya hakuna umoja wa aina yoyote, Kenya kuna kulinda maslahi na kulinda kabila.
Wewe unajua Kenya kutuliko??? Some Tanzanians.... huh
 
They won't understand you at all coz politics in Tz is a matter of parties interests to take over the power and care less abour the well being of the majority and our nation at large

How can a primary school graduate argue critically bout complex issues of a state such as international contracts and diplomatic issues !!!!!.......

Alafu someone will come here opposing you huku katiba yetu ikihalilisha mtu anayejua kusoma na kuandika tu kuwa mbunge


Mimi ninasema mpo katika right move .. Anayetaka uongozi na asome kwa bidii ili afunguke akili

No wonder our parliament is full of shame
 
Sisi eti ajue kusoma na kuandika...... Halafu mshangae kwanini wenzetu wanasonga....
 
Hii ikija Tanzania tutapoteza Wabunge sana hasa chadema kuanzia Mbowe, Lisu Tundu mpaka akina Msigwa nje!
Lakini tutapata wabunge wengi wenye degree...usifikirie kupoteza tu....zama hizi degree za kumwaga.....wote uliyowataja kama kweli hawana degree watakuwa replaced tu...lakini hukuwataja wa chama tawala.... tatizo liko wapi
 
Wasomi wengi wa ccm ni wajinga sana kuliko darasa la saba ya lema
 
Mnao ijua nchi yenu ina washinda.

Safe your backwaters country first. We have our own issues, we appreciate them and on a daily basis we try to find solutions to them. Yenu... The three things that will finish you is UWOGA, UJINGA na UBINAFSI....
 
Msaada tafadhar...
Yule mbunge aliyetamka bungen kuwa tuweke sanam la diamond ana elimu gan?
 
Jana bunge la jamuhuri ya kenya lilipitisha mswada unao mlazimu kila mbunge kuwa na degree angalao moja. Vipi unaonaje na sisi tukaiga hilo
WATANZNIA KUNA NYAKATI WAWAKILISHI WETU WANAKUWA KAMA MAJUHA KULE BUNGENI. UNAKUMBUKA KUNA WAKATI BUNGE LILITUNGA SHERIA YA KUHALALISHA RUSHWA(TAKRIMA)? . HII NI KWA SABABU WAO NDIO WALIOKUWA WAKITOA RUSHWA NYAKATI ZA UCHAGUZI HIVYO RUSHWA IKAWA HALALI WAKATI WA UCHAGUZI.
SASA HIVI SIFA YA MBUNGE NI KUJUA KUSOMA NA KUANDIKA TU. JE HUU SIYO UJUHA?
 
labda mbowe ana shahada ya kupigia kura tu.2005 hiyo sheria inayomtaka mgombea awe na shahada ilikua haijaanza kutumika.Halafu unaweza kupata cheti cha form four cha mbowe?nakupa laki fasta
KAWAULIZE IHUNGO HIGH SCHOOL, ANA DIVISION ONE NZURI SANA.
 
Hii ikija Tanzania tutapoteza Wabunge sana hasa chadema kuanzia Mbowe, Lisu Tundu mpaka akina Msigwa nje!
Mkuu,hata kama humpendi lissu mpe heshima yake basi,wakili wa mahakama kuuu asiwe na degree[emoji15] [emoji15]
 
Hii ikija Tanzania tutapoteza Wabunge sana hasa chadema kuanzia Mbowe, Lisu Tundu mpaka akina Msigwa nje!
Kweli hunazo kichwani. Mtu anaweza kuwa wakili wa Mahakama kuu bila degree?
 
Reactions: mij
Hii ikija Tanzania tutapoteza Wabunge sana hasa chadema kuanzia Mbowe, Lisu Tundu mpaka akina Msigwa nje!

Mkuu huyu Tundu Lissu ana Masters of Law (LLM)
 
Reactions: AAJ
Ila mimi ningeshauri hata humu mijini wale wenyeviti wa mitaa ilibidi wawe na atlest form four, uelewa wao mdogo unaleta changamoto sana mwingine anataka rushwa hata kuiomba hawezi anaishia kuongea utumbo tu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…