Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
Kila mtu safari hii anaweka mbwembwe zake kisiasa. Masikitiko ni kuwa Tanzania ni siasa, siasa, siasa hata mahala pasipohitaji siasa. Elimu ni siasa, Barabara, siasa, afya siasa, kilimo siasa, hatuachi utaalam, utendaji, utumishi, utafiti na ugunduzi vijitenge mbali na siasa.Duh aiseee