Jaribu kidogo kuuliza jinsi gani usahihishaji wa mitihani unavyofanyika kuliko kuleta porojo zisizokuwa na mashiko. Kumbuka pia watahiniwa utumia namba badala ya majina.
Nimewasikiliza sana, lakini naona madai yenyewe ni upuuzi mtupu! Hivi kama Ndalichako angetaka kuwaonea, angewaonea kwenye somo moja tu la Kiislamu? Kwa nini asiwaonee kwenye masomo yote? Halafu alinayeratibu somo la Islamick Knowledge unamfahamu au unalopoka tu? Mimi bahati nzuri namfahamu vizuri ana Masters yake na anazo busara za kutosha tu kuliko upuuzi unaosema wewe mfunga Msuri mahiri! Tafakari, chukua hatua.
waziri wa elimu shukuru jumanne kawambwa,katibu mkuu wizara ya elimu prof.hamisdihenga!! waislamu 2tulie 2weke mikakati2
Hii pumba,na ndo uwezo wako wa kufikiri unavokuambia??
Hii ni hujuma kubwa sana. Ndalichako aseme shule za bara alizozikagua kwa Soft ware yake zipo ngapi? Je St. Mathew ilikaguliwa? Angalieni Biology paper 2 majibu ya watahiniwa hasa michoro.
- Kwenye Mtihani wa Kumaliza Elimu ya Msingi 2011, shule nyingi zilizofungiwa ni za Kiislamu. Mfano Shule zote zilizofungiwa Tanga ni za Kiislamu pekee.
- Mtihani wa Kidato cha Nne 2011, Shule zilizofungiwa pia za Kiislamu. Wazanzibar zaidi ya 3000 walifungiwa. Jumla ya waliofungiwa ni 4000 Tanzania nzima.
Hii ilifukiwa.
- Sasa umekuja Mtihani wa Kidato cha Sita. Kawafyeka Waislamu na Kuwapa 70% F. Walivyolalamika wamefaulu kwa 70%.
- Kaajiri Mchungaji kushughulikia Bible Knowledge. Islamic kampa mtu asiyejua hata kusoma Herufi ya Kiarabu. Huu ni uhuni. Waislamu wapo wenye Masters ya Islamic na Arabic
- Waislamu na Watanzania Amkeni.
Mengine tutayataja.