Rais Kikwete amemteua Dkt. Charles Msonde kuwa Katibu Mtendaji wa Baraza la Taifa la Mitihani Tanzania (NECTA), kuchukua nafasi ya nafasi iliyoachwa wazi na Dkt. Joyce Ndalichako, ambaye amerudi kuendelea na kazi Chuo Kikuu cha Dar es Salaam baada ya kumaliza likizo yake ya kujinoa. Je, unahisi uteuzi huo utaleta mabadiliko katika sekta ya Elimu? Funguka hapa hivi sasa.