Ndama dume wa kisasa wanahitajika

Ndama dume wa kisasa wanahitajika

Tougher

JF-Expert Member
Joined
Jul 9, 2013
Posts
245
Reaction score
65
Habari zenu ndugu zangu,

Ninahitaji ng'ombe wadogo wa kisasa (chini ya mwaka 1 prefarably) kwa ajili ya kununua. Nipo Dar es Salaam, aliyenao naomba anipatie bei yake na yupo wapi. Kwa wale wa Dar es salaam na Pwani nitakuja kuwaona hapo walipo, kama upo mbali na Dar naomba weka na Picha utakapowasiliana nami inbox.

Regards

Tougher
 
Back
Top Bottom