"Ndama mtoto wa Ng'ombe" anyakwa na polisi

"Ndama mtoto wa Ng'ombe" anyakwa na polisi

Uswe

JF-Expert Member
Joined
Nov 1, 2010
Posts
2,204
Reaction score
627
habari nilizopokea sasa hivi kutoka kwa afisa mwandamizi wa polisi, Pedeshee mmoja Ndama mtoto wa Ng'ombe anashikiliwa na polisi kwa kuhusishwa na mali za wizi
 
Ahhh, bwana mtu mdogo sana huyo, hana impct yoyote kwenye jamii, labda kwa wa-congo wanaompaisha kwenye majukwaa ya starehe usiku kucha
 
Impact haikosekani ungeuliza mali gani kakutwa nayo? Vipi kama kakutwa na madawa ya binadamu from MSD.
 
Ni kweli amekamatwa,kwa mujibu wa baba yake mzazi alinunua gari lenye matatizo,sikuweza kumdadisi vizuri nafikiri hakuwa sehemu nzuri ya kuweza kuongea kwa kirefu,ameahidi kunipigia,nitamuuliza mengi kuhusiana na hilo.
 
Huyu jamaa ana maskendo kibao....kipindi cha nyuma alihusishwa na ishu za viungo vya arubino....akakamatwa akaachiwa...na sasa amekamatwa na ishu za wizi.....lazima ataachiwa tu....we subiria.jeshi la polisi lilivyo na njaa kali mtaona.
 
Ndama nae anakamatwa? Sasa hawa polisi nao jamani! Watamuweka wapi sasa? Kituo cha polisi? mama yake aliuwawa nini?
 
Kakutwa na magari ya wizi nini?

yes kakamatwa na gari ya wizi, inasemekana gari ilikua na mzigo ndani wenye thamani ya mil 30, yeye akanunua gari pamoja na mzigo kwa mil 4, jamaa anasema ndama ni mtu alobobea katika issue za wizi na anadhani this time watamshikilia, sijui kama ni kweli watamshikilia au la!
 
mbona wamechelewa sana,au mara hii hakula nao nini,Akifungwa sasa sijui wife atarudi kwa mtoto wa Nguza au atamsubiria??
 
habari nilizopokea sasa hivi kutoka kwa afisa mwandamizi wa polisi, Pedeshee mmoja Ndama mtoto wa Ng'ombe anashikiliwa na polisi kwa kuhusishwa na mali za wizi

Hii utani au kitu gani? Ndama kakamatwa, anazaliwa na ng'ombe! hebu acheni mafumbo na hii sio tar. 1 April
 
Hii utani au kitu gani? Ndama kakamatwa, anazaliwa na ng'ombe! hebu acheni mafumbo na hii sio tar. 1 April

no sio utani huu jamaa yupo kweli na amekamatwa kweli
 
Duh!! kumbe nimevamia uzi bila hodi..nimejikuta mwisho wa uzi lakini nimetoka kapa.
Ng'ombe ni nani tena?
 
In Gods Name what the hell is going on??....... and i mean kwenye hii post.......:A S confused:
 
Duh!! kumbe nimevamia uzi bila hodi..nimejikuta mwisho wa uzi lakini nimetoka kapa.
Ng'ombe ni nani tena?
LOL... huyu ni kijana ya mujini anaitwa ndama... ila wacongo waliongezea hilo la pili na kumuita ndama mutoto ya ngombe... ni kijana wa mishemishe tu

sishangai yeye kukamatwa kwami najua watamwachia tu..
 
Polisi hawana kazi sasa, wanakamata wanyama wa nini, kwani wao maliasili?/
 
Back
Top Bottom