Kakutwa na magari ya wizi nini?
habari nilizopokea sasa hivi kutoka kwa afisa mwandamizi wa polisi, Pedeshee mmoja Ndama mtoto wa Ng'ombe anashikiliwa na polisi kwa kuhusishwa na mali za wizi
Hii utani au kitu gani? Ndama kakamatwa, anazaliwa na ng'ombe! hebu acheni mafumbo na hii sio tar. 1 April
LOL... huyu ni kijana ya mujini anaitwa ndama... ila wacongo waliongezea hilo la pili na kumuita ndama mutoto ya ngombe... ni kijana wa mishemishe tuDuh!! kumbe nimevamia uzi bila hodi..nimejikuta mwisho wa uzi lakini nimetoka kapa.
Ng'ombe ni nani tena?
Huyu ndama ndie nani? Mbona sijawahi msikia?