Habari wadau? mimi ni mwandishi wa vitabu naomba yeyote mwenye mawasiliano ya Ndanda Publication anisaidie na shida sana na mawasiliano yao. Nikipata namba zao za mkononi(meneja) ndo itakuwa safi zaidi lakini all in all naomba contacts za hiyo kampuni, yeyote mwenye kufahamu tuwasiliane kupitia 0717 709618 au novakambota@gmail.com
NATANGULIZA SHUKRANI ZANGU KWENU WADAU, MUNGU AWABARIKI WOTE.
Naona kwenye neti kuna simu za Monastery ya Ndanda kama ifuatavyo: 255 784 306 170 au
255-784-371-335. Nadhani ukiwapigia watakuelekeza kwenye kitengo chao cha uchapishaji.
Ndanda wayeyeushaji,mm nshapeleka miswaada yng miwili wamenizungusha tu miaka nenda miaka rudi.nadhan uongoz wa sasa hauna sera faafu ya uchapishaji.si kama ndanda ile ya zamani.