Ndani ya CCM kama Form zitatolewa zaidi ya moja. Je, Samia anaweza kushindanishwa na mwanamke gani?

Ndani ya CCM kama Form zitatolewa zaidi ya moja. Je, Samia anaweza kushindanishwa na mwanamke gani?

Bush Dokta

JF-Expert Member
Joined
Apr 11, 2023
Posts
24,831
Reaction score
45,154
SIdhani Kama Dr Samia Suluhu Hassani anaweza kuzuia Haki ya Wanawake Wenzako Kugombea Nafasi ya Kuwania Urais ndani ya Chama chake.

Ktk hili tuombe women empowerment iwe kwa vitendo na isiishie kwa Maneno.

Je tukitazama ndani ya CCM kuna Mwanamke mwenye ubavu wa kushindana naye au wanasubiri tu teuzi?

Kwa Maslahi ya Taifa

Cc: Pascal Mayalla
 
Sioni kwenye Safu ya viongozi wao. Labda kwa mbaali
SIdhani Kama Dr Samia Suluhu Hassani anaweza kuzuia Haki ya Wanawake Wenzako Kugombea Nafasi ya Kuwania Urais ndani ya Chama chake.

Ktk hili tuombe women empowerment iwe kwa vitendo na isiishie kwa Maneno.

Je tukitazama ndani ya CCM kuna Mwanamke mwenye ubavu wa kushindana naye au wanasubiri tu teuzi?

Kwa Maslahi ya Taifa

Cc: Pascal Mayalla
Mwegelo au Sophia Mjema
 
Ccm sio genge la wahuni ndugu, sio kila sehemu utafikiria kuna utoto kama wa CDM, Samia anaenda kwenye uchaguzi 2025 octber akiwa kama mwenyekiti wa ccm na mgombea urais. Waambie cdm wamalize mambo yao tukutane kwenye kampeni.
CCM hamna uvwavwamvwa.
Tunarudi mapema september kujiandaa na uchaguzi bongo.
 
Back
Top Bottom