Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 24,831
- 45,154
Mwegelo au Sophia MjemaSIdhani Kama Dr Samia Suluhu Hassani anaweza kuzuia Haki ya Wanawake Wenzako Kugombea Nafasi ya Kuwania Urais ndani ya Chama chake.
Ktk hili tuombe women empowerment iwe kwa vitendo na isiishie kwa Maneno.
Je tukitazama ndani ya CCM kuna Mwanamke mwenye ubavu wa kushindana naye au wanasubiri tu teuzi?
Kwa Maslahi ya Taifa
Cc: Pascal Mayalla
Ndio nani huyu?Jesca Msambatavangu π
Sawa
Upi?Muacheniii anaupiga mwingi sana
Upi?
Foxy?
Soma vizuri nimeandikajeFoxy?
Ni Genge la wala RUSHWA.Ccm sio genge la wahuni ndugu