Wengine sio mapandikizi isipokuwa wananunulika. Hawana uwezo wa kuzishinda tamaa zao!Siasa ya Tanzania ni ngumu sana, CHADEMA itapitia migorgoro mengi sana KWA sbb mapandikizi ya ccm yapo mengi sana.
Nani angeweza kujua kuwa mbowe ni pandikizi wa ccm zaidi ya miaka 30? Na je mbowe amecha wangapi ndani ya CHADEMA? KWA sasa mpimzani wa kweli ni Tundu Lisu: angalau na Heche lakini the rest kamati kuu! Tuwape mda........
Hela ya Abdul inawatamanisha hadi uzalendo unawashindaWengine sio mapandikizi isipokuwa wananunulika. Hawana uwezo wa kuzishinda tamaa zao!
Aseme Saanane yuko wapi ?full of yudas! ila mbowe yule mzee mnafiki sana😅😅😅
Padre Msigwa ni bonge la pakindizi la CCM. Halafu nyie chadomo mmempokea kizembe tu.Siasa ya Tanzania ni ngumu sana, CHADEMA itapitia migorgoro mengi sana KWA sbb mapandikizi ya ccm yapo mengi sana.
Nani angeweza kujua kuwa mbowe ni pandikizi wa ccm zaidi ya miaka 30? Na je mbowe amecha wangapi ndani ya CHADEMA? KWA sasa mpimzani wa kweli ni Tundu Lisu: angalau na Heche lakini the rest kamati kuu! Tuwape mda........
Huu ndio wakati wa pumba na mchele kujitengaSiasa ya Tanzania ni ngumu sana, CHADEMA itapitia migorgoro mengi sana KWA sbb mapandikizi ya ccm yapo mengi sana.
Nani angeweza kujua kuwa mbowe ni pandikizi wa ccm zaidi ya miaka 30? Na je mbowe amecha wangapi ndani ya CHADEMA? KWA sasa mpimzani wa kweli ni Tundu Lisu: angalau na Heche lakini the rest kamati kuu! Tuwape mda........
Wengine ni wale waliokimbia kwa jeuri na hatimaye wengine kujua walirubuniwa na kurudi ila mapandikizi yaliyo julikana pasi na shaka wamepewa ofa mtaa wapili kule na leo ndiyo waendesha hujuma dhidi ya chadema na wanajaribu kupandikiza Michome wengi na wadai mgawanyo haki na wakizimkazi!Ila hadi hapa wamechemka kwani hata chama cha majambazi chenyewea.k.a ccm wannajua wapinzani wao ni matumaini ya taifa matumaini ya watanzania woteSiasa ya Tanzania ni ngumu sana, CHADEMA itapitia migorgoro mengi sana KWA sbb mapandikizi ya ccm yapo mengi sana.
Nani angeweza kujua kuwa mbowe ni pandikizi wa ccm zaidi ya miaka 30? Na je mbowe amecha wangapi ndani ya CHADEMA? KWA sasa mpimzani wa kweli ni Tundu Lisu: angalau na Heche lakini the rest kamati kuu! Tuwape mda........
Uko sahihi kabisa,wakiwekewa bahasha tu! Wanausaliti uzalendoWengine sio mapandikizi isipokuwa wananunulika. Hawana uwezo wa kuzishinda tamaa zao!
Kwakweli mazafakas na mafazafakas mengine hayawezi kuzishinda tamaa zao za mkwanja 🤣🤣 🤣😁 !Wengine sio mapandikizi isipokuwa wananunulika. Hawana uwezo wa kuzishinda tamaa zao!
Habari za Mbowe kuwa ni pandikizi nilisikia kwa mzee mmoja miaka mingi sana huko nyuma, tena akiwa in his prime, nilibisha sanaaaaSiasa ya Tanzania ni ngumu sana, CHADEMA itapitia migorgoro mengi sana KWA sbb mapandikizi ya ccm yapo mengi sana.
Nani angeweza kujua kuwa mbowe ni pandikizi wa ccm zaidi ya miaka 30? Na je mbowe amecha wangapi ndani ya CHADEMA? KWA sasa mpimzani wa kweli ni Tundu Lisu: angalau na Heche lakini the rest kamati kuu! Tuwape mda........
Mungu ampe maisha marefu Tundu lisuHakuna kitu watafanya mwenyekiti ni Tundu Lissu aliyeshinda kwenye box la kura mchana kweupe na akashinda wananchi wanaona kabisa ndo kosa chadema walifanya kufanya uchaguzi huru kwenye vyombo vya habari wananchi wote wanaona Lissu ameenda jela kisa kesi ya Uongo wananchi wote wanajua Lissu alikataa kupeleka chadema kwenye kwenye uchaguzi October baada ya kusema sheria zinapendelea upande mmoja wananchi wanajua na Sasa wanajua yuko jela kisa kutokubali masharti ya kuwauza wanaomuunga mkono ambao sasa ndo wengi wamejua Lissu ni mtu wa aina gani Hata chadema
Ikifa Lissu anenda kua Laila Odinga na wafuasi wake kwasababu ya kupigania haki kumbuka wapigania HAKI ni wengi japokua wengine wamenyamaza kitendo cha Lissu kusimama
Kwenye haki za Msingi za kuweka viongozi wanaotoka na wananchi hiyo imemuongezea wafusi wengi sana akitoka ndo balaah hata huyu hasipokua na chama ndo hatari zaidi akiwa huru na sio mwenyekiti wa chddema Impact itakua kubwa sana atawasomba na wale ambao hawana vyama huyu ni zaidi Lissu kubana akiwa mwenyekiti wa Chadema kuliko kua sio Mwenyekit wapige hesabu vizuri