Mayiwee!!! Shughuli yote hiyo na bado kuna watu wana mzaha na hiki kitu, yaani kuingia humo ndani ni kama kujitoa mhanga.
Hebu waza shughuli yote hiyo ni kwa ajili ya waathirika 123, je tukipigwa na kirusi kienee mpaka uswahilini hii nchi tutaikimbia....japo sijui tutakimbilia wapi, labda twende kwa wenzetu wa kusini ambapo hutuaminisha kwamba hewa yao ni dawa tosha.