Ndani ya IT muda huu kwenda Mbeya

HaMachiach

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2015
Posts
3,417
Reaction score
6,149
Wakuu habari ya usiku natumai mnaendelea kupumu
Niko safari kutoka dar naenda Mby niko kwenye IT dereva ni mdada mrembo afu tuko wawili shida ninayo ipata hapa amevua nguo ya juu amebaki na sindilia tu moyo wangu unaenda kasi spidi ya 4G Mungu nisaidie.
 
Angalia usipate ajali kwa kuweka hisia kuwa uko na mwanamke kumbe umebeba nguo za mtumba unapeleka kwenu.
 
mkipata ajali uje utupe updates mkuu na tupicha ikiwezekana maana nayaona matamanio yako kabisa na utaanza kumshikashika huku aki drive
 
mkipata ajali uje utupe updates mkuu na tupicha ikiwezekana maana nayaona matamanio yako kabisa na utaanza kumshikashika huku aki drive
Tutapaki pembeni kwanza
 
Nakumbuka mgonjwa wa ulcers alizidiwa tukateuliwa mimi na binti mmoja hivi tufuate chakula, nikamwambia yule binti tupitie kwanza kwangu nibadili nguo ndiyo tufuate chakula halafu turudi hospitali ya Kakala.

Kufika kwangu na Kigamboni umeme ulivyokua unapenda kukatika tukajikuta tupo gizani nikaamua kuvua nguo pale pale kwakua hawezi kuniona.

Baada ya nguo kuvuka sasa, daaah. Mgonjwa alitusamehe kwakweli.
 
 
Mko wawili tu, IT imekorea, speed 120.

Mungu ndie ahusike kuwalinda, lasivyo sioni future ya hiyo safari
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…