Ndani ya Kigoma kwa sana

mr. loner

Senior Member
Joined
Aug 1, 2014
Posts
168
Reaction score
229
Wakuu hatimae nimeingia Kigoma ila bar za huko hamna ata watu, nimekaa lake view mhudumu ni mmoja wateja hamna, hapa nipo metro ila wahudumu hovyo hovyo tu, wenyeji wa kigoma naombeni maeneo tulivu yenye wahudumu wazuri pia na beach nzuri nayoweza punga maupepo.

Ntatoa feedback hapahapa kabla sijalala
 
Nenda sandra ama safari pub opp na nmb utakimbia mwenyewe
 
Kigoma ni hasara tupu na ndiyo maana wenyewe wanaikimbia na kwenda Dar kubana pua.....pole kwa kupoteza muda wako.
 
Bangwe Beach
Lake Tanganyika Hotel
Nenda Hadi Kasulu
 
Ukitaka kwenye Wahudumu wengi inabidi uende Kasulu huko,Kasugeko 1&2 utapata msululu wa Wahudumu Watusi,Warangi,Wasukuma etc.Kwa Kigoma Mjini umeula wa chuya jamaa yangu.Watu huku hawajuagi kwenda Bar/Pub lakini ukitaka kukutana na watu wengi tembelea Vijiwe vya Gahawa zaidi.
 
anhaaa anataka palipochangamka
Yap wengine wallet haifunguki bila hizo mambo mkuu,na huko alikoenda hali ni ngumu sana kipindi hiki wenye bar zao wamepunguza wahudumu....kama ndo kaugonjwa kake aende eneo linaitwa Center,pale watutsi kibao wamejazana
 
Au manguruweni katubuka,akagide kayoga
 
Naskia Wanawake huko wana misambwanda hatari!je ni kweli?

Ova
 
Yap wengine wallet haifunguki bila hizo mambo mkuu,na huko alikoenda hali ni ngumu sana kipindi hiki wenye bar zao wamepunguza wahudumu....kama ndo kaugonjwa kake aende eneo linaitwa Center,pale watutsi kibao wamejazana
anhaaa hapo sawa mkuu...kazi kwake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…