Ndani ya mahusiano. . .

Well well well
Thats my Rice!

Afu mi ndio unaniita Doctor Love?

Sred inaonyesha nani ni doctor hasa na nani kanjanja lol
mi ni kanjanja tu....
Hizo "principles" nazizingatia toka enzi za ujana wangu, ila sijui tatizo linatokea wapi hasa!
 
Well well well
Thats my Rice!

Afu mi ndio unaniita Doctor Love?

Sred inaonyesha nani ni doctor hasa na nani kanjanja lol
mi ni kanjanja tu....
Hizo "principles" nazizingatia toka enzi za ujana wangu, ila sijui tatizo linatokea wapi hasa!

Hahahaha. . . we mbona Dr Love ilishaexpire? I'll stick to jG maana inanipendeza zaidi.

We unahitaji special session wewe. . .nione baadae tuangalie tatizo lilipo.
 
Lizzy asante sana kwa topic nzuri.
My worry ni kuwa haya mambo kuyasema ni rahisi sana kama kutamka a,e,i,o,u ila utekelezaji wake ni mgumu sana
Watu ndani ya relationship wamekuwa too rigid kusimamia misimamo yao na hawataki kubadilika. Baba ameambiwa yeye ni kichwa cha nyumba kuja kumwambia akae na mke wake washauriane masuala ya kufanya au kutenda ni issue. Au washauriane masuala ya nyumba zao au amsikilize mke wake ndani ya nyumba ni pagumu sana
Naamini hayo uliyoyasema hapo juu yakifanyika watu wataacha kusema ndoa ngumu na watu watafurahia maisha au mahusiano yao.
Ila kutofanyika kwake ndo kunasababisha mahusiano mengi kuwa kwenye kulega lega
Asante kwa topic
 
Hahahaha. . . we mbona Dr Love ilishaexpire? I'll stick to jG maana inanipendeza zaidi.

We unahitaji special session wewe. . .nione baadae tuangalie tatizo lilipo.

hahahaha
haya baadae
utanikuta palepale pa siku zote lol
 

Mr Rocky hamna ugumu wowote kwenye mengi ya hayo mambo. . .ni kiasi tu cha mtu kuamua kua furaha ya mwenzake badala ya karaha. Hayo mawazo ya 'ni ngumu sana' ndio yanayofanya watu wajiendekeze na kuendeleza ubinafsi kwenye mahusiano.
 
QUOTE=Lizzy;3279331]Mr Rocky hamna ugumu wowote kwenye mengi ya hayo mambo. . .ni kiasi tu cha mtu kuamua kua furaha ya mwenzake badala ya karaha. Hayo mawazo ya 'ni ngumu sana' ndio yanayofanya watu wajiendekeze na kuendeleza ubinafsi kwenye mahusiano.[/QUOTE]
Lizzy nakubaliana na wewe
Kuna kastatement ka ugumu na kila mtu anasema mahusiano ni magumu ila ukweli halisi ni kuwa haya mambo yanaongeleka na kujadilika baina ya wapendwa wawili kwenye mahusiano.
Ila ni kila mmoja kuplay his or her part kwenye mahusiano na kujaribu kuwa wazi na humble kwa mwenzake
l
 
Mahusiano ni vile mtu anavyoyafanya yeye. . . akifanya mambo ya kuyafanya magumu yatakua magumu, akifanya mambo ya kufanya yawe rahisi yatakua rahisi. Muhimu kuachana na visingizio.
 


Dear lovers,
😛oaThats very true. Just practice once, you will all find the difference!
 
Halafu umwambie umeshakuwa booked official with all compliments kwa ajili ya Valentines day.

jouneGwalu likes this post, japo anatumia kitochi kwa sasa!
With all due respect Mkuu wangu Matola, nilikuulizia sana kabla hatujaendelea ila nilijibiwa kwa ukimya na matendo yaliyofunikwa na ishara nzito, hvyo sio makosa yetu ngoja nijadili naye!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…