Ndani ya mahusiano. . .

ok sawa ntakukuta mimi,
umemuona katokea?

Nimemuona ndio. . kwani unadhani nilikua simtegemei? We shauri lako kama ulikua hujui mahusiano yetu ni strictly professional.
 
LiZzy kama kawaida. Its as if you are reading my mind.
 
Nimemuona ndio. . kwani unadhani nilikua simtegemei? We shauri lako kama ulikua hujui mahusiano yetu ni strictly professional.

dah....
Ila mi kila nkikuulizaga unanirusha, ulikuwa unamaanisha nini?
I kinda cant let go.
 
dah....
Ila mi kila nkikuulizaga unanirusha, ulikuwa unamaanisha nini?
I kinda cant let go.
I know you can't. . . it's not even possible.Lolz

Ahhhh usijali bana. . tar 15 ntakutoa ukafidie tar 14.
 
nashukuru sana,
lizzy,ntafanyia kazi hlo!:A S 465:
 
Asipokugongea LIKE basi ujumbe umefika. . .lolz

Asante kwa useful post...

Ila 13 na 14...
Dah... Ni mambo muhimu,ila wanaume tunaweza,ila yanataka mwanamke understanding..
 
Mada yako nzuri kama ilani ya CCM ilivyo nzuri, lakini haitekelezekiHata hivyo nitaomba MOD wanipe no yako nikutafute unipe darasa kirefu zaidi, unasemaje? just to advice me
Watu wengine ni very strategic. Sasa kama hayo umeshasema ni kama ilani ya ccm na kwamba hayatekelezeki unatafuta namba ya mtoa mada ya nini? Ama una agenda nyingine?? Weka wazi hapa.
 
Asante kwa useful post...

Ila 13 na 14...
Dah... Ni mambo muhimu,ila wanaume tunaweza,ila yanataka mwanamke understanding..

Wanaume wachache sana wanaweza Gamba. . .ndio maana wengine hua wanatoka nje kubembelezwa kisa wake zao hawabembelezi, au sio watundu chumbani. Hawahangaiki kufundisha wala nini. . .wanataka mtu awe anajua tayari, utadhani wenyewe hawakujifunza at some point.
pa kumpatia sasa..ndiyo kazi..

Huko huko uraiani. . . ukiangalia kwa makini utashangaa mwenyewe utakavyompata kirahisi.
 
😛oaLizzy Asante kwa darasa la ukweli. Naona kwa namna hii wenye mahusiano yatazidi kuboreka na kuwa imara. love it.
 
Watu wengine ni very strategic. Sasa kama hayo umeshasema ni kama ilani ya ccm na kwamba hayatekelezeki unatafuta namba ya mtoa mada ya nini? Ama una agenda nyingine?? Weka wazi hapa.
Hapo sasa. . . usanii tu.
 
Karibu na asante IKHO.
Poa Lizzy. Naona upo online. Nimeshindwa nisaidie how can up load my avatar in my profile? Mi mgeni labda ndo maana najaribu ila nashindwa. can you brief me?
 
Poa Lizzy. Naona upo online. Nimeshindwa nisaidie how can up load my avatar in my profile? Mi mgeni labda ndo maana najaribu ila nashindwa. can you brief me?

IKHO angalia pale juu kabisa kuna sehemu imeandikwa SETTINGS (natumai unatumia PC). . . .bonyeza hapo alafu angalia chini kidogo upande wa kushoto utaona palipoandikwa EDIT AVATAR. . bonyeza hapo. Ukishabonyeza hapo utapelekwa kwenye page inayokupa option ya ku-upload picha kutoka kwenye computer yako au kuweka URL ya ilipo hiyo avatar.Ukimaliza bonyeza SAVE CHANGES alafu utaiona. Ila kama ni kubwa sana itakataa mpaka uipunguze.
 
Enhee. . . .

Mrengo wako ni kuboresha mahusiano kati ya watu wawili...

Je sexual act ina umuhimu katika hili? Na kwa kiasi gani? Kikubwa au sawa kama mambo mengine..
 
Mrengo wako ni kuboresha mahusiano kati ya watu wawili...

Je sexual act ina umuhimu katika hili? Na kwa kiasi gani? Kikubwa au sawa kama mambo mengine..

Ofcourse it is. . .hukuona "BAD GIRLS ARE SEXY"? Kama hukuona angalia hapa . . . .

https://www.jamiiforums.com/mahusiano-mapenzi-urafiki/219085-bad-girls-are-sexy.html

Anyway umuhimu wake unaendana na matakwa ya wahusika wenyewe. Ila generally inatakiwa ipewe nafasi na muda wa kutosha ili kuwe na balance. Sio muda wote mnakua mnahangaika na mambo mengine ambayo mngeweza mkayafanya hata na marafiki zenu alafu mnasahau lile ambalo ndio haswa linatofautisha urafiki pekee na urafiki ndani ya mahusiano. Ndio maana yanaitwa mahusiano ya kimapenzi. . .kwasababu mapenzi ni kiungo kikuu kwenye mahusiano ya mke na mume/wapenzi.
 
Thanks,nimekupata vizuri Lizzy...
wajua sijakuona,hata ukimsalimia mtu kwenye thread ya lucky-c-pesa au .....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…