Ndani ya mahusiano. . .

Thanks,nimekupata vizuri Lizzy...
wajua sijakuona,hata ukimsalimia mtu kwenye thread ya lucky-c-pesa au .....
Karibu Gamba. . .
Hhhmmm kwingine hua nasoma na kupita tu, siunajua tena.
 
pls niite G... Au Kiranga alinipa nick name ya Gchokest...

Najua nini tena,au kuna suala la kumaintain PR? Jambo ambalo umelimaintain na gain credibility uliyonayo ndani ya JF? Is that what you mean?
 
dada lizzy umenigusa kabisa it iz a gud topic much respect it relate with my post NAKOSA MAPENZI hayo ndo mapenzi sasa we need to be like that good gooder goodest
 
Hahahaha. . . wala. .mi hua nachangia popote ila wakati mwingine naangalia kule ambapo naona ni muhimu zaidi.

Hhmm nikikuita G kuna mtu ntakua nafhani ndio nnaongea nae. . how about GeeCee?!
 
Syndeke basi fanya mpango huyo anaekunyima mapenzi apate copy. . she/he night learn a thing or two and apply it.
 
dada lizy ubarikiwe sana kwa somo hilo ninapenda mawazo na mafundisho unayotoa mara kwa mara.
 
Hahahaha. . . wala. .mi hua nachangia popote ila wakati mwingine naangalia kule ambapo naona ni muhimu zaidi.

Hhmm nikikuita G kuna mtu ntakua nafhani ndio nnaongea nae. . how about GeeCee?!

Yap... Hiyo nickname ya ukweli..
 
I don't think so!Kwa umri ambao ninao nina uzoefu wa kutosha sana na sio ninapoishi tu bali hata tofauti na hapa!
Maybe you are not flexible. Try to learn how to be flexible, I am sure that you will discover that your ideas are wrong..!
 
Ingawa sipendi na sijawahi kumwendea mdada yeyote PM,bado kidogo tu ninge... Pole if there is anything... Just if...

Hahahahaembu jaza hizo . . . . . kwanza alafu ntakwambia kitu.
 
NingekuPM... I thought you felt low,bad,disgusted,maybe angry as well.... So I could not afford missing you...
 
Ohhh that is sooo sweet.Thank you GeeCee.
Hehehe you don't have to worry though. . .it was just a prank.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…