Ojuolegbha
JF-Expert Member
- Sep 6, 2020
- 1,278
- 797
Miaka Minne ya Rais Samia Suluhu Hassan Tumeona ujenzi wa hospitali za wilaya 129, vituo vya afya 367, majengo 87 ya huduma za dharura, na majengo 30 ya wagonjwa mahututi (ICU) yote yakifanyika chini ya uongozi wako ili kuhakikisha hakuna mtanzania atasumbuliwa kwa kukosa huduma ya afya.
Watanzania wengi wamepata ajira kwenye Afya bila kuwa na watu wa kuwaunganisha huko.
Trilioni 1.29 alizotoa Rais Samia kwenye kada ya afya kupitia TAMISEMI zimesaidia sana kuimarisha miundombinu ya Afya kama ilivyoelekezwa kwenye Ilani ya CCM Ibara ya 83 (d) (f) (g) na (l)