Jabali la Siasa
JF-Expert Member
- Jul 10, 2020
- 3,629
- 3,015
Lipa naomba ya mtandao ganiUmesahau Lipa namba.
Ila huyu maza kumbe anapambana sana tena siku hizi mambo ya mabunduki kwenye Kodi hayapoView attachment 3397881
MIAKA 4 YA SAMIA, TRA YAKUSANYA TZS 121 TRILIONI. MIAKA 5 KABLA YA SAMIA ILIKUSANYA TZS 91 TRILIONI.
Miaka minne (4) ya Rais Samia TRA imekusanya jumla ya TZS 120.8 Trilioni~121T.
Wakati katika kipindi kama hicho mwaka 2015/2020 TRA ilikusanya TZS 91.0 Trilioni.
Makusanyo haya ya Rais Samia ni bila Bunduki wala Dhuluma kwa Walipakodi | Wafanyabiashara
WATANZANIA WOTE OKTOBA TUNATIK✅
Safi sana aiseeView attachment 3397881

Anapambana sanaIla huyu maza kumbe anapambana sana tena siku hizi mambo ya mabunduki kwenye Kodi hayapo
Mkopo ni muhimu Kwa ustawi wa jamiiVizuri,Na twambie ndani ya miaka mi4 mama ako huyo wa kambo samia kaweka deni la mkopo tanzaia kiasi gani ?????✍️✍️✍️✍️✍️✍️
Mama kakopa kidogo sana madeni mengi ni madeni ya nyumaPamoja na hayo makusanyo kaongeza deni kwa kiasi kikubwa. Je hela zote hizo zijaenda wapi?
Lissu hawezi kuwa Rais wa JMT labda Rais wa TLS,Safi sana. Ukijumlisha na za mikopo zinakuwa ngapi vile?. Karibu sana waziri wa mambo ya nje wa EU nimeskia unakuja. OKTOBA TUNATIKI KWA TUNDU LISSU raisi wetu.
Kumbe, nani anaweza.Lissu hawezi kuwa Rais wa JMT labda Rais wa TLS,
Safi nini mzeeSafi sana aisee
Hakuna analopambania,makusanyo mengi maendeleo hakuna pesa zinaenda wapi,Ila huyu maza kumbe anapambana sana tena siku hizi mambo ya mabunduki kwenye Kodi hayapo