Siku zote makusanyo yanaendana na matumizi. Mtuambie sasa kwa uwazi matumizi ya hayo makuaanyo.View attachment 3397881
MIAKA 4 YA SAMIA, TRA YAKUSANYA TZS 121 TRILIONI. MIAKA 5 KABLA YA SAMIA ILIKUSANYA TZS 91 TRILIONI.
Miaka minne (4) ya Rais Samia TRA imekusanya jumla ya TZS 120.8 Trilioni~121T.
Wakati katika kipindi kama hicho mwaka 2015/2020 TRA ilikusanya TZS 91.0 Trilioni.
Makusanyo haya ya Rais Samia ni bila Bunduki wala Dhuluma kwa Walipakodi | Wafanyabiashara
WATANZANIA WOTE OKTOBA TUNATIK✅
Aisee mbona naona ni kiduchu sana yaani isingekuwa upigaji uchawa na kulea rushwa nadhani ilipaswa kuwa trilioni kama 600 hiviView attachment 3397881
MIAKA 4 YA SAMIA, TRA YAKUSANYA TZS 121 TRILIONI. MIAKA 5 KABLA YA SAMIA ILIKUSANYA TZS 91 TRILIONI.
Miaka minne (4) ya Rais Samia TRA imekusanya jumla ya TZS 120.8 Trilioni~121T.
Wakati katika kipindi kama hicho mwaka 2015/2020 TRA ilikusanya TZS 91.0 Trilioni.
Makusanyo haya ya Rais Samia ni bila Bunduki wala Dhuluma kwa Walipakodi | Wafanyabiashara
WATANZANIA WOTE OKTOBA TUNATIK✅
KAZI ni kazi na UtuKati ya hizo ukoo wenu umepewa sh ngapi
Hiyo 121 Trillioni shillings zimefanya nini? Mbona bado tunaendelea kukopa pesa?View attachment 3397881
MIAKA 4 YA SAMIA, TRA YAKUSANYA TZS 121 TRILIONI. MIAKA 5 KABLA YA SAMIA ILIKUSANYA TZS 91 TRILIONI.
Miaka minne (4) ya Rais Samia TRA imekusanya jumla ya TZS 120.8 Trilioni~121T.
Wakati katika kipindi kama hicho mwaka 2015/2020 TRA ilikusanya TZS 91.0 Trilioni.
Makusanyo haya ya Rais Samia ni bila Bunduki wala Dhuluma kwa Walipakodi | Wafanyabiashara
WATANZANIA WOTE OKTOBA TUNATIK✅
Tusidanganyane - yote hii ni matokeo ya vitozo lukuki visivyo na mashiko - ukinunua LUku kuna tozo jinga - mshahara wa mwalimu unakatwa PAYE na kuingizwa katika akaunti - huko benki akenda kuchukua vijisenti anakatwa kila aina ya tozo etc etcView attachment 3397881
MIAKA 4 YA SAMIA, TRA YAKUSANYA TZS 121 TRILIONI. MIAKA 5 KABLA YA SAMIA ILIKUSANYA TZS 91 TRILIONI.
Miaka minne (4) ya Rais Samia TRA imekusanya jumla ya TZS 120.8 Trilioni~121T.
Wakati katika kipindi kama hicho mwaka 2015/2020 TRA ilikusanya TZS 91.0 Trilioni.
Makusanyo haya ya Rais Samia ni bila Bunduki wala Dhuluma kwa Walipakodi | Wafanyabiashara
WATANZANIA WOTE OKTOBA TUNATIK✅
Acha uchuro, lipeni makandarasi.View attachment 3397881
MIAKA 4 YA SAMIA, TRA YAKUSANYA TZS 121 TRILIONI. MIAKA 5 KABLA YA SAMIA ILIKUSANYA TZS 91 TRILIONI.
Miaka minne (4) ya Rais Samia TRA imekusanya jumla ya TZS 120.8 Trilioni~121T.
Wakati katika kipindi kama hicho mwaka 2015/2020 TRA ilikusanya TZS 91.0 Trilioni.
Makusanyo haya ya Rais Samia ni bila Bunduki wala Dhuluma kwa Walipakodi | Wafanyabiashara
WATANZANIA WOTE OKTOBA TUNATIK✅
😂😂Umesahau Lipa namba.
DuuuhKati ya hizo ukoo wenu umepewa sh ngapi
Kakuta 60T kapeleka 107T ndani ya miaka minne karibia ongezeko la 1T kila mweziMama kakopa kidogo sana madeni mengi ni madeni ya nyuma
Hii ni nzuri sanaView attachment 3397881
MIAKA 4 YA SAMIA, TRA YAKUSANYA TZS 121 TRILIONI. MIAKA 5 KABLA YA SAMIA ILIKUSANYA TZS 91 TRILIONI.
Miaka minne (4) ya Rais Samia TRA imekusanya jumla ya TZS 120.8 Trilioni~121T.
Wakati katika kipindi kama hicho mwaka 2015/2020 TRA ilikusanya TZS 91.0 Trilioni.
Makusanyo haya ya Rais Samia ni bila Bunduki wala Dhuluma kwa Walipakodi | Wafanyabiashara
WATANZANIA WOTE OKTOBA TUNATIK✅
Ndio maana Huwa na sema kazi zs Mama zinatishaHii ni nzuri sana
Milopo tr 50 na makusanyo tri 121. Miradi tekelezwa 0 mtaani hakuna hela. Je zimefanya kazi gani? Au baiskeli za Mama!!View attachment 3397881
MIAKA 4 YA SAMIA, TRA YAKUSANYA TZS 121 TRILIONI. MIAKA 5 KABLA YA SAMIA ILIKUSANYA TZS 91 TRILIONI.
Miaka minne (4) ya Rais Samia TRA imekusanya jumla ya TZS 120.8 Trilioni~121T.
Wakati katika kipindi kama hicho mwaka 2015/2020 TRA ilikusanya TZS 91.0 Trilioni.
Makusanyo haya ya Rais Samia ni bila Bunduki wala Dhuluma kwa Walipakodi | Wafanyabiashara
WATANZANIA WOTE OKTOBA TUNATIK✅
Hiyo barabara unayopita ndio kazi ya TRAMilopo tr 50 na makusanyo tri 121. Miradi tekelezwa 0 mtaani hakuna hela. Je zimefanya kazi gani? Au baiskeli za Mama!!
Sahihi, Ndio uelekeo wa MamaTRA wakiongeza tax base na kuziba mianya ya ubadhirifu makusanyo yanaweza kuwa mara mbili au hata kuzidi.
Watu tunaolipa kodi kwa uaminifu tena kwa wakati tumeongezeka tangu mwaka 2015 kwenye awamu ya Magufuli
Hizi sifa za kijinga zinalenga nini? 😲😮
HAHAHAAHALipa naomba ya mtandao gani
ZIMEFANYA KAZIMama mitano TENA . ILA HUKU nyuma wanauliza ETI zimefanya nini