๐—ก๐—ฑ๐—ฎ๐—ป๐—ถ ๐˜†๐—ฎ ๐—บ๐—ถ๐—ฎ๐—ธ๐—ฎ ๐Ÿฑ ๐—ญ๐—ถ๐—บ๐—ฏ๐—ฎ๐—ฏ๐˜„๐—ฒ ๐—ถ๐—บ๐—ฒ๐—ณ๐—ฎ๐—ป๐—ถ๐—ธ๐—ถ๐˜„๐—ฎ ๐—ธ๐˜‚๐—ฟ๐˜‚๐˜€๐—ต๐—ฎ ๐˜€๐—ฎ๐˜๐—ฒ๐—น๐—น๐—ถ๐˜๐—ฒ ๐Ÿฏ ๐—”๐—ป๐—ด๐—ฎ๐—ป๐—ถ

Teknolojia ni Yetu sote

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2020
Posts
620
Reaction score
1,240
๐—ก๐—ฑ๐—ฎ๐—ป๐—ถ ๐˜†๐—ฎ ๐—บ๐—ถ๐—ฎ๐—ธ๐—ฎ ๐Ÿฑ ๐—ญ๐—ถ๐—บ๐—ฏ๐—ฎ๐—ฏ๐˜„๐—ฒ ๐—ถ๐—บ๐—ฒ๐—ณ๐—ฎ๐—ป๐—ถ๐—ธ๐—ถ๐˜„๐—ฎ ๐—ธ๐˜‚๐—ฟ๐˜‚๐˜€๐—ต๐—ฎ ๐˜€๐—ฎ๐˜๐—ฒ๐—น๐—น๐—ถ๐˜๐—ฒ ๐Ÿฏ ๐—”๐—ป๐—ด๐—ฎ๐—ป๐—ถ




Zimbabwe nchi kutoka Kusini mwa Afrika inaendelea kuonyesha maendeleo yake ya Sekta ya Teknolojia kwa upande wa Mawasiliano ya Anga baada ya kurusha satellite yake mpya ya 3 kwa lengo la kuimarisha usalama wa ardhini.

Mkurugenzi mkuu wa ZINGSA anaitwa Painos Gwene aliweza kuzungumza kuwa miradi ya satellite inashika Kasi ulimwenguni hivyo na sisi kurusha satellite sio kwamba kuonekana Zimbabwe nayo imerusha satellite bali satellite hizi zitumike kushughulikia mahitaji maalum ya Zimbabwe.

Aliweza kutoa mfano kwa kusema kwa Sasa tulikua hatuna uwezo wa kuangalia mambo yanayotendeka kwenye Dunia Yetu ndani ya wakati kwa kutupa update mpya za picha kupitia satellite Kila baada masaa 5 mpaka 6hrs lakini kupitia satellite ya zimSat - 3 tutaweza kufuatilia mambo mengi ndani ya muda mfupi.

Kuanzia ufuatiliaji wa mavuno ya mazao, ufuatiliaji wa mmomonyoko wa Udongo na kutathimini mabadiliko ya mazingira. Kwa sasa satellite zilizopo Nchini Zimbabwe zinafuatilia hali ya ukame , ramani ya uchimbaji wa madini, na shughuli zinginezo kwa urahisi.

Serikali ya Zimbabwe kupitia Shirika la kitaifa la Geospatial na Anga za Zimbabwe (ZINGSA) inaona juhudi za kuweka satellite ni kwenye kusaidia kulinda nchi na kufuatilia maendeleo ya nchi pamoja na majanga ya Asili kwa urahisi.
 
Sisi ni nishati safi ya kupikia๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Haki nchi imepata mpishi
 
Ina manufaa gani kwao ikiwa kula ya wananchi wao tu ni matatizo.
 
Kweli watendaji siku zote sio waongeaji.
Ukiona jitu linaongea sanaa oh nitafanya hivi, mara nitaongeza kile, ujue umeliwa.

Zimbabwe ni dume linalotenda halina majigambo. Kimya kimya matokeo utayaona.

Hongera Zimbabwe ๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡ผ
 
Kuna nchi iko Kaskazini mwa Msumbiji yenyewe imefanikiwa kuwa na wahitimu wengi sana wa taaluma ya UCHAWA.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ