Hapo kuna makundi kama ma4! kuna wanaoprogress haraka sana, kuna wanaoprogress kwa wastani na kuna wale wanaochelewa sana kuprogress to dalili, that is UKIMWI! na kuna ambao hawapati maambukizi japokuwa wanakuwa exposed kwa kias kikubwa! kuna studies tofaut tofaut zilizokwisha fanyika, zinazoyaelezea makundi haya tofauti!
1. rapid progressors, wanaweza kuchukua miaka 2-3 kwa dalili za nje kuanza kuonekana.
2. typical progressors, wanaweza kuchukua miaka kama 10 hivi.
3. Long Term Non Progressors, hawa wanaweza kuwa na maambukizi kwa zaidi ya miaka 10 bila dalili kuanza kuonekana.
4. Highly Exposed Persistently Seronegative, hawa japokuwa wanajiexpose kwa kiasi kikubwa hawapati maambukizi!!