Ndani ya nyumba

Mama Big

JF-Expert Member
Joined
Nov 3, 2010
Posts
488
Reaction score
7
Habari za masiku kibao wanaJF wenzangu. Nashukuru mungu nimerudi kundini salama. Natumai tutakuwa wote sasa nilikuwa katika majukumu ya kujenga taifa na mapumziko pia. Niliwamiss sana ni nafuraha sasa tutakuwa pamoja. Just want to let you know that Mama Kubwa is back
 
Mama B, Mama Kubwa, Mama Big its nice to have you back aisee ile kengele niliyokugongea jumamosi imesaidia ngoja nisubiri akina Mwanajamiione, Asprin, Kaizer, Teamo, St R.R, Bigirita na wengineo wengi utueleze ulikuwa umefichwa na nani once again welkum back missed you big time.
 
Karibu sana missed u mno mama kubwa sasa naona jukwaa litachangamka lol
 
Thank jamani really am back sikujua kama kuna kengele ilipigwa well am back
 
Karibu sana missed u mno mama kubwa sasa naona jukwaa litachangamka lol

Maty Mamy kuna kumbukumbu uliiacha pale kwangu kila nikiiona nakukumbuka sana ma dear
 
Maty Mamy kuna kumbukumbu uliiacha pale kwangu kila nikiiona nakukumbuka sana ma dear

Hahahaaaaaaaa hivi bado ipo eeee itunze tunze tu mama big nitakuja kukudai siku moja ujue lol
 
Karibu tena mama K,natumai unayo mengi ya kutujuza,tunasubiri kwa hamu kubwa uliyoyakusanya kwa kipindi chote ambacho hukuwa pamoja nasi.
 
Karibu tena mama big,dig dig yupo lkn amekua sasa
 
Karibu mama big!!!!
 
Will back...to welcome u back....Mama B!
 
Hahahaaaaaaaa hivi bado ipo eeee itunze tunze tu mama big nitakuja kukudai siku moja ujue lol

Nimeitunza ndio maana nimekukumbusha kuwa kale kamzigo chako kapo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…