ndani ya nyumba

empisi yaija

New Member
Joined
Aug 7, 2014
Posts
2
Reaction score
1
Ndugu zangu wana JF,
Napenda kuwasalimu katika jina la aliye mkuu kuliko wote ambaye ndo aliyeumba ulimwengu huu.

Leo nafurahi kuutangazia umma kuwa sasa na mimi niko JF tayari kuchangia mijadala mbali mbali yenye tija na kujenga taifa bila kusahau habari za kufurahishana katika kuyafanya maisha yetu yawe ya kutabasamu.

Ni matarajio kuwa ntakaribishwa na kupata marafiki wengi zaidi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…