Sawa Mkuu nmewekaSema ulipoicopy basi mkuu na mpe credit aliyeandika haya.
Kambi gan mkuuIla laban au ni wewe tulikuwa depo moja make hueleweki
Ile ipo kwenye makumbusho ya taifaIle 5G ya 5 November tuitafutie hadithi yake.
Msata
Ile 5G ya 5 November tuitafutie hadithi yake.
AahaahView attachment 2917848
Kumbukumbu muhimu
[emoji23][emoji23]View attachment 2917848
Kumbukumbu muhimu
Aliyetengeneza hiyo Katuni, Mungu anamuona Walahi....!!NDANI YA SIKU NANE YANGA WAMECHEZA MECHI TATU NA KUSHINDA YOTE KWA KUPATA JUMLA YA MAGOLI 12
KMC 0-3 YANGA
YANGA 5-0 POLIS Tz
YANGA 4-0 BELOUZDAD
NDANI YA SIKU NANE SIMBA WAMECHEZA MICHEZO MIWILI NA KUFANIKIWA KUSHINDA MCHEZO MMOJA NA JUMLA YA MAGOLI MOJA TU (01)
GEITA GOLD 0-1 SIMBA
ASEC 0-0 SIMBA
SIMBA WAKO UNGA SANA TUWAOMBEE HAWA WALEVI WANA HALI MBAYA
source: Oscar Oscar View attachment 2917099
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Ni kweli make yule laban alikuwa msumbufu sana kama wewe tu
Kabisa mkuuYanga kwa sasa ndiyo habari ya mjini.
Lkn ni ya kweli mkuuAliyetengeneza hiyo Katuni, Mungu anamuona Walahi....!!
Alikuwa hapendi kujila[emoji23][emoji23]Ni kweli make yule laban alikuwa msumbufu sana kama wewe tu