Natafuta Ajira
JF-Expert Member
- Mar 25, 2020
- 14,421
- 40,936
HahahhahaAseeh hata mm nina tabia ya kulipa ndiyo nipate huduma...... Wakati mwingine kuna kujisahau na wengine kuchukulia uwanja wa fursa.....
Kinachonishangaza hawa watoa huduma km msosi, anasahau vipi umepokea hela malizana na mteja mmoja baada ya mwingine km bank
Seran naomba usimamie dada wa kaunta wale ugali maharage na dagaa nyama ni za wateja
Re clock iiiiit 😆 😆
Bila shaka zingebondwa kwakweliTukio la kwanza lilinikuta jumatano wakati naenda maeneo yangu ya kumwagilia moyo kuangalia game ya liverpool vs chelsea na washkaji. Kama unavyojua sisi wengine tunajisikia kuwa huru zaidi kutembea na kibunda mfukoni maana inaweza kutokea situation hauwezi kufanya malipo electronically ikakulazimu ulipe kwa cash.
Nikapita kwa wakal kutoa hela. Wakati narudi kwenye gari nikaona viatu vya watoto vimemwagwa chini vinauzwa shilingi 5000. Nikasema ngoja nimchukulie jambazi wangu nyumbani nyumbani hata pea moja.
Nimechagua kiatu, nimelipa hela(nilitoa noti ya 10000). Kwa dakika kadhaa jamaa anaeuza akaendelea kuhudumia watu huku akiendelea kuperuzi simu. Nikamwambia haujanipa chenchi. Nilishangaa alivyoniambia sijampa hela. Nikamwelekeza nimempa elfu 10 ndio nilikua nasubiri chenchi.
Akawa mkali. Wakati tunaendelea na kamjadala ketu mimi nikiwa namwambia nimempa hela nasubiri chenchi, yeye anasema sijampa hela. Bahati mbaya sana akaanza kutumia lugha mbovu. Dhihaka, matusi na mikwala mbuzi. Hasira zilinipanda lakini nikampuuza na kuondoka, cha kushangaza niliondoka na vile viatu lakini hakunikumbusha kwamba sijampa hela kama alivyosema.
Situation ya pili imenikuta ijumaa. Kuna mgahawa nishaenda mara kadhaa kula chakula. Nimefika pale nikaagiza msosi nikala. Alivyokuja dogo kuondoa vyombo nikampa elfu 10. Bei za pale nazijua chakula nilichokula gharama yake ni 5500. Nikainuka kwenda kwenye sinki kunawa mikono. Nikasimama kaunta kusubiri chenchi wakati anasikiliza wateja wengine. Baada ya dakika kadhaa nikamkumbusha yule dogo kwa nasubiri chenchi. Likajirudia tena lile suala la siku mbili zilizopita. Yule dogo akaniambia sijampa hela.
Nikamwelekeza kwamba nimemlipa na yeye akashikilia msimamo wake sijampa hela. Kwa kuisoma body language yake ni kweli alikua amesahau na pia wakati anajielezea hakua anatumia mbovu. Alitumia lugha ya kuheshimiana. Nikapotezea ile hela lakini nikampa msisitizo kwamba, kama ni kweli amesahau ni sawa hayo ni madhaifu tu ya kibinadamu, lakini kama ni ujanja janja anafanya basi sio kitu kizuri na ipo siku atamfanyia hivyo mkurya ataaribu kibarua chake kazini au atachafua taswira ya ofisi. Kwa sababu amesema sijampa hela nikatoa hela nyingine na kulipa lakini safari hii nikamlipa kijana mwingine ili isije kuleta utata.
Sasa basi, kwa uchumi wa sasa elfu 10 ni hela kubwa kwa watu wengi sana. Unavyofanya malipo kuwe na mtu anaeona au kama mpo wawili tu basi lipa kwa kutoa msisitizo. Na hii isiishie kwenye situation zilizonikuta mimi, umepanda daladala unatoka kariakoo kwenda tegeta umetoa nauli maeneo ya azania sekondari pale na haujarudishiwa chenchi basi konda akipita karibu yako mkumbushe. Usisubiri gari ifike salasala mbuyuni au tegeta kabisa ndio umkumbushe chenchi yako.
Jaribu kufikiria situations zilizonikuta mimi zingemkuta mtu alietoa noti ambayo ndio hela pekee aliyobakiwa nayo mfukoni halafu anakaa mbali, yaani chenchi inayorudi hapo hapo ndio nauli ya kwenda kwake. Bila shaka ingemlazimu kupigana.
Aseeh hata mm nina tabia ya kulipa ndiyo nipate huduma...... Wakati mwingine kuna kujisahau na wengine kuchukulia uwanja wa fursa.....
Kinachonishangaza hawa watoa huduma km msosi, anasahau vipi umepokea hela malizana na mteja mmoja baada ya mwingine km bank
Seran naomba usimamie dada wa kaunta wale ugali maharage na dagaa nyama ni za wateja
Re clock iiiiit 😆 😆
Bila shaka zingebondwa kwakweli
Ulifanya vyema maana baadae ungeonekana mtata weweYule alieniletea lugha mbovu ilibaki kidogo sana nimpe punch za uso. Nikaamua kuondoka haraka sana kabla sijashindwa kudhibiti jazba
Suluhisho unapolipa hapohapo dai chenji,usingoje chochoteTukio la kwanza lilinikuta jumatano wakati naenda maeneo yangu ya kumwagilia moyo kuangalia game ya liverpool vs chelsea na washkaji. Kama unavyojua sisi wengine tunajisikia kuwa huru zaidi kutembea na kibunda mfukoni maana inaweza kutokea situation hauwezi kufanya malipo electronically ikakulazimu ulipe kwa cash.
Nikapita kwa wakal kutoa hela. Wakati narudi kwenye gari nikaona viatu vya watoto vimemwagwa chini vinauzwa shilingi 5000. Nikasema ngoja nimchukulie jambazi wangu nyumbani nyumbani hata pea moja.
Nimechagua kiatu, nimelipa hela(nilitoa noti ya 10000). Kwa dakika kadhaa jamaa anaeuza akaendelea kuhudumia watu huku akiendelea kuperuzi simu. Nikamwambia haujanipa chenchi. Nilishangaa alivyoniambia sijampa hela. Nikamwelekeza nimempa elfu 10 ndio nilikua nasubiri chenchi.
Akawa mkali. Wakati tunaendelea na kamjadala ketu mimi nikiwa namwambia nimempa hela nasubiri chenchi, yeye anasema sijampa hela. Bahati mbaya sana akaanza kutumia lugha mbovu. Dhihaka, matusi na mikwala mbuzi. Hasira zilinipanda lakini nikampuuza na kuondoka, cha kushangaza niliondoka na vile viatu lakini hakunikumbusha kwamba sijampa hela kama alivyosema.
Situation ya pili imenikuta ijumaa. Kuna mgahawa nishaenda mara kadhaa kula chakula. Nimefika pale nikaagiza msosi nikala. Alivyokuja dogo kuondoa vyombo nikampa elfu 10. Bei za pale nazijua chakula nilichokula gharama yake ni 5500. Nikainuka kwenda kwenye sinki kunawa mikono. Nikasimama kaunta kusubiri chenchi wakati anasikiliza wateja wengine. Baada ya dakika kadhaa nikamkumbusha yule dogo kwa nasubiri chenchi. Likajirudia tena lile suala la siku mbili zilizopita. Yule dogo akaniambia sijampa hela.
Nikamwelekeza kwamba nimemlipa na yeye akashikilia msimamo wake sijampa hela. Kwa kuisoma body language yake ni kweli alikua amesahau na pia wakati anajielezea hakua anatumia mbovu. Alitumia lugha ya kuheshimiana. Nikapotezea ile hela lakini nikampa msisitizo kwamba, kama ni kweli amesahau ni sawa hayo ni madhaifu tu ya kibinadamu, lakini kama ni ujanja janja anafanya basi sio kitu kizuri na ipo siku atamfanyia hivyo mkurya ataaribu kibarua chake kazini au atachafua taswira ya ofisi. Kwa sababu amesema sijampa hela nikatoa hela nyingine na kulipa lakini safari hii nikamlipa kijana mwingine ili isije kuleta utata.
Sasa basi, kwa uchumi wa sasa elfu 10 ni hela kubwa kwa watu wengi sana. Unavyofanya malipo kuwe na mtu anaeona au kama mpo wawili tu basi lipa kwa kutoa msisitizo. Na hii isiishie kwenye situation zilizonikuta mimi, umepanda daladala unatoka kariakoo kwenda tegeta umetoa nauli maeneo ya azania sekondari pale na haujarudishiwa chenchi basi konda akipita karibu yako mkumbushe. Usisubiri gari ifike salasala mbuyuni au tegeta kabisa ndio umkumbushe chenchi yako.
Jaribu kufikiria situations zilizonikuta mimi zingemkuta mtu alietoa noti ambayo ndio hela pekee aliyobakiwa nayo mfukoni halafu anakaa mbali, yaani chenchi inayorudi hapo hapo ndio nauli ya kwenda kwake. Bila shaka ingemlazimu kupigana.
Shida ...ni kwamba kuna dalili ya watu kupoteza kumbukumbu kutokana na taifa letu linavyo ongozwa vibaya.... unacho takiwa kufanya utoapo pesa ni kudai chenji muda huo huo hii inashaidia kuimalishq kumbukumbu za mpokea pesaTukio la kwanza lilinikuta jumatano wakati naenda maeneo yangu ya kumwagilia moyo kuangalia game ya liverpool vs chelsea na washkaji. Kama unavyojua sisi wengine tunajisikia kuwa huru zaidi kutembea na kibunda mfukoni maana inaweza kutokea situation hauwezi kufanya malipo electronically ikakulazimu ulipe kwa cash.
Nikapita kwa wakal kutoa hela. Wakati narudi kwenye gari nikaona viatu vya watoto vimemwagwa chini vinauzwa shilingi 5000. Nikasema ngoja nimchukulie jambazi wangu nyumbani nyumbani hata pea moja.
Nimechagua kiatu, nimelipa hela(nilitoa noti ya 10000). Kwa dakika kadhaa jamaa anaeuza akaendelea kuhudumia watu huku akiendelea kuperuzi simu. Nikamwambia haujanipa chenchi. Nilishangaa alivyoniambia sijampa hela. Nikamwelekeza nimempa elfu 10 ndio nilikua nasubiri chenchi.
Akawa mkali. Wakati tunaendelea na kamjadala ketu mimi nikiwa namwambia nimempa hela nasubiri chenchi, yeye anasema sijampa hela. Bahati mbaya sana akaanza kutumia lugha mbovu. Dhihaka, matusi na mikwala mbuzi. Hasira zilinipanda lakini nikampuuza na kuondoka, cha kushangaza niliondoka na vile viatu lakini hakunikumbusha kwamba sijampa hela kama alivyosema.
Situation ya pili imenikuta ijumaa. Kuna mgahawa nishaenda mara kadhaa kula chakula. Nimefika pale nikaagiza msosi nikala. Alivyokuja dogo kuondoa vyombo nikampa elfu 10. Bei za pale nazijua chakula nilichokula gharama yake ni 5500. Nikainuka kwenda kwenye sinki kunawa mikono. Nikasimama kaunta kusubiri chenchi wakati anasikiliza wateja wengine. Baada ya dakika kadhaa nikamkumbusha yule dogo kwa nasubiri chenchi. Likajirudia tena lile suala la siku mbili zilizopita. Yule dogo akaniambia sijampa hela.
Nikamwelekeza kwamba nimemlipa na yeye akashikilia msimamo wake sijampa hela. Kwa kuisoma body language yake ni kweli alikua amesahau na pia wakati anajielezea hakua anatumia mbovu. Alitumia lugha ya kuheshimiana. Nikapotezea ile hela lakini nikampa msisitizo kwamba, kama ni kweli amesahau ni sawa hayo ni madhaifu tu ya kibinadamu, lakini kama ni ujanja janja anafanya basi sio kitu kizuri na ipo siku atamfanyia hivyo mkurya ataaribu kibarua chake kazini au atachafua taswira ya ofisi. Kwa sababu amesema sijampa hela nikatoa hela nyingine na kulipa lakini safari hii nikamlipa kijana mwingine ili isije kuleta utata.
Sasa basi, kwa uchumi wa sasa elfu 10 ni hela kubwa kwa watu wengi sana. Unavyofanya malipo kuwe na mtu anaeona au kama mpo wawili tu basi lipa kwa kutoa msisitizo. Na hii isiishie kwenye situation zilizonikuta mimi, umepanda daladala unatoka kariakoo kwenda tegeta umetoa nauli maeneo ya azania sekondari pale na haujarudishiwa chenchi basi konda akipita karibu yako mkumbushe. Usisubiri gari ifike salasala mbuyuni au tegeta kabisa ndio umkumbushe chenchi yako.
Jaribu kufikiria situations zilizonikuta mimi zingemkuta mtu alietoa noti ambayo ndio hela pekee aliyobakiwa nayo mfukoni halafu anakaa mbali, yaani chenchi inayorudi hapo hapo ndio nauli ya kwenda kwake. Bila shaka ingemlazimu kupigana.
An anagoma kutoa chenji na anakukwangua nyingine dah 😢Hiyo hali ilishawahi kunikuta maeneo ya shekilango nimetoka zangu safari mpaka dar kwenye ofisi ya basi fulani hivi mida ya sita usiku ikabidi nitafute kibanda nipata japo konyagi ndogo nisuze koo nikalipa 10,000/= then nikaa kwenye benchi nikagiga kale ka konyagi kakaisha. Sasa kibembe naomba nipwewe nchenchi yangu 5,000/= aisee sikuamini jamaa alinikataa sijampa hela si jamaa kaanza kunijazia watu eli mm tapeli nataka nimutapeli hela yake ya konyangi ilibidi tu nilipie tena ile konyagi mambo yasiwe mengi
Mimi tungesachiana ata kwa kuvuana nguo.......na uzuri najua pesa zangu zilivyo.
Suluhisho unapolipa hapohapo dai chenji,usingoje chochote
Hiyo hali ilishawahi kunikuta maeneo ya shekilango nimetoka zangu safari mpaka dar kwenye ofisi ya basi fulani hivi mida ya sita usiku ikabidi nitafute kibanda nipata japo konyagi ndogo nisuze koo nikalipa 10,000/= then nikaa kwenye benchi nikagiga kale ka konyagi kakaisha. Sasa kibembe naomba nipwewe nchenchi yangu 5,000/= aisee sikuamini jamaa alinikataa sijampa hela si jamaa kaanza kunijazia watu eli mm tapeli nataka nimutapeli hela yake ya konyangi ilibidi tu nilipie tena ile konyagi mambo yasiwe mengi