Ndayiragije maamuzi yake yalikuwa muhimu Sana dakika za mwisho ili stars isonge mbele

Mangungo II

JF-Expert Member
Joined
Jul 6, 2012
Posts
18,133
Reaction score
26,766
Nimecheki mpira vijana walikuwa kwenye form mwanzo Ila kadri dakika zinavyoyoma pumzi zinawakata na wanaanza kupoteana .

Kulikuwa Kuna wachezaje Kama watano mule ndani wamechoka .Na kocha kafanya sub moja tu ,it means alikuwa na na sub Kama nne hivi .

Baada ya like goli letu la pili Jamaa wakafanya sub za fasta fasta Waka aggressive Saba kutafuta bao la kusawazisha .

Hapo ndipo ndayiragije angeingilia Kati kwa kucheza karata yake ya mwisho angefanya sub hata nne mule ndani za mkupuo

Moja angeongeza nguvu kwa stars na mbili angewapunguza speed ya kutafuta bao guinea.

Sijui alikuwa anawaza Nini ?

Haya Sasa tukutane kipawa .

Mitano Tena [emoji1]

Sent from my TECNO P703 using JamiiForums mobile app
 
Ufinyu wa benchi la ufundi umegharimu. Alikuwa na kundi kubwa la wachezaji wasioweza kumsaidia ukiondoa kikosi cha kwanza. Fikiria km benchi pale angekuwepo Dilunga,Mzamiru,Sure Boy, Hata Kichuya,Ninja,au Kenedy nazani wangeweza kusaidia baada ya wenzao kuchoka.Kuna Mwamunyeto alikaribia kula umeme, ukiangalia benchi hakuna mtu ambaye angeingia.

Pia muda ulivyokuwa unaeenda kulihitajika kuingia beki au kiungo Mkabaji mrefu na aggressive ili asaidie kuzuia mipira ya cross maana kadri mda ulivyokwenda jamaa walitumia sana mipira ya juu na kona. Maamuzi yake ya kuacha baadhi ya wachezaji kumemghalimu.
 
Wachezaji wa kitanzania sijui shida nini mipira ya kuruka yote wanawin timu pinzani
 
Kocha na benchi lake loote Kama vile walibet. Haiwezekani timu imeelemewa, viungo wamepigwa halafu wao wako tulii wakati kwenyebenchi Kuna wachezaji. Anyway mitano Tena.
 
Nimecheki mpira vijana walikuwa kwenye form mwanzo Ila kadri dakika zinavyoyoma pumzi zinawakata na wanaanza kupoteana .

Kulikuwa Kuna wachezaje Kama watano mule ndani wamechoka .Na kocha kafanya sub moja tu ,it means alikuwa na na sub Kama nne hivi .

Baada ya like goli letu la pili Jamaa wakafanya sub za fasta fasta Waka aggressive Saba kutafuta bao la kusawazisha .

Hapo ndipo ndayiragije angeingilia Kati kwa kucheza karata yake ya mwisho angefanya sub hata nne mule ndani za mkupuo

Moja angeongeza nguvu kwa stars na mbili angewapunguza speed ya kutafuta bao guinea.

Sijui alikuwa anawaza Nini ?

Haya Sasa tukutane kipawa .

Mitano Tena [emoji1]

Sent from my TECNO P703 using JamiiForums mobile app
Watz hatupo makini.
Huyu si kocha wa timu ya Taifa ila ni kocha wa klabu kwanza hana uzoefu wa mechi za kimataifa ila kwa kuwa sie ni kichwa cha mwenda wazimu basi kila kinyozi anajifunzia kunyoa nywele.
Angalia hata msaidizi wake Matola, huyu alishindwa kubadili mfumo wa uchezaji wakati Simba ikicheza na Yanga kwenye fainali ya kombe la Mapinduzi, sasa unategemea nini hapo mkuu?!
 
Wachezaji wa kitanzania sijui shida nini mipira ya kuruka yote wanawin timu pinzani
NOoooo, mkuu tatizo sio wachezaji. Tatizo kubwa ni benchi la ufundi likiongozwa na kocha mkuu.
 
Nimecheki mpira vijana walikuwa kwenye form mwanzo Ila kadri dakika zinavyoyoma pumzi zinawakata na wanaanza kupoteana .

Kulikuwa Kuna wachezaje Kama watano mule ndani wamechoka .Na kocha kafanya sub moja tu ,it means alikuwa na na sub Kama nne hivi .

Baada ya like goli letu la pili Jamaa wakafanya sub za fasta fasta Waka aggressive Saba kutafuta bao la kusawazisha .

Hapo ndipo ndayiragije angeingilia Kati kwa kucheza karata yake ya mwisho angefanya sub hata nne mule ndani za mkupuo

Moja angeongeza nguvu kwa stars na mbili angewapunguza speed ya kutafuta bao guinea.

Sijui alikuwa anawaza Nini ?

Haya Sasa tukutane kipawa .

Mitano Tena [emoji1]

Sent from my TECNO P703 using JamiiForums mobile app
Hamna kocha mle, yule msimamizi wa mazoezi tu.
 
Back
Top Bottom