Mangungo II
JF-Expert Member
- Jul 6, 2012
- 18,133
- 26,766
Nimecheki mpira vijana walikuwa kwenye form mwanzo Ila kadri dakika zinavyoyoma pumzi zinawakata na wanaanza kupoteana .
Kulikuwa Kuna wachezaje Kama watano mule ndani wamechoka .Na kocha kafanya sub moja tu ,it means alikuwa na na sub Kama nne hivi .
Baada ya like goli letu la pili Jamaa wakafanya sub za fasta fasta Waka aggressive Saba kutafuta bao la kusawazisha .
Hapo ndipo ndayiragije angeingilia Kati kwa kucheza karata yake ya mwisho angefanya sub hata nne mule ndani za mkupuo
Moja angeongeza nguvu kwa stars na mbili angewapunguza speed ya kutafuta bao guinea.
Sijui alikuwa anawaza Nini ?
Haya Sasa tukutane kipawa .
Mitano Tena [emoji1]
Sent from my TECNO P703 using JamiiForums mobile app