Ndefu kubadilika kutoka rangi nyeusi(black) kuwa kahawia(brown)

Clark boots

JF-Expert Member
Joined
Jun 5, 2017
Posts
6,770
Reaction score
6,202
Habari za wakati huu wapendwa..
Direct to the point..
Me ni kijana rijali kabisa nisiyezidi miaka 25..
So naweza kusema kuwa nimejaaliwa na Mwenyezimungu kuwa na nywele nyingi hasa kichwani na kidevuni pia..
Sina asili ya nywele nyekundu/mpunga, Nina nywele nyeusi sana hasa kichwani (ID inajiekeza)
Ila tatizo kubwa ni hvi sasa nashangaa kuona kiasi cha ndevu zangu zinabadilika na kuwa brown colour..

So nauliza hapa hii kitu huwa inasababishwa na nn wakuu..?

% UZI TAYARI %
 
zimepatwa na vinasaba

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndo unakuwa hivyo sasa. Humu wengi wao waliokuwa na nywele nzuri mno utoton ila kadri umri unavyosonga zinabadika. Ndo kwako sasa tofuti na hapo labda una HIV au utapia mlo au mbadiliko wa vinasaba vinakukataa wewe si mwarabu like ila ni kama wale bushman

Chagua kusuka au kunyoa
 
Weka picha ya ndevu brauni tujue tatizo nini
 
Labda umepatwa na allergy au Angalia vyakula unavyotumia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…