Ndege aina hii wanaitwaje?

Miunda

JF-Expert Member
Joined
Aug 26, 2014
Posts
530
Reaction score
182
Anayewafahamu hawa ndege kwa kiswahili wanaitwaje na je, Tanzania wanapatikana ?




 
Kiukweli kwa Tanzania sijui Kama wapo..... Ngoja waje wanaofahamu
Ahsante, nataka kujua kama tz wapo au hawapo ili niweze kuchukua hizi mbegu bila ya kugharamika sana kwa kuzitoa nje ya nchi.
 
Wapo zaidi ya aina Tano

Nitawaweka happy baadhi golden pheasant
 
Kiukweli sifahamu mkuu na pia sidhani Kama wana Jina la kiswahili labda ngoja wawe maarufu .....ndo tutapata Jina la kiswahili....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…