Ndege anaweza kupaa kwenye vacuum?

Ndege anaweza kupaa kwenye vacuum?

KENZY

JF-Expert Member
Joined
Dec 27, 2015
Posts
32,529
Reaction score
76,691
Wadau naombeni jibu hapo kwa anaefahamu lkn lipo na swali la nyongeza ambalo ni je,sauti inaweza kusikika kwenye vacum/mahala tupu..?

karibuni..
 
Mkuu kwenye.vaccum hakuna.air..na.ndege anapotaka.kupaa huwa ana.push mabawa yake against.air..so.bila.hewa n.impossible

Na kuhusu saut n desgn kama.nayo.n impossible

Vacuum does not contain matter that the sound can interact with, in order to propagate.
 
Sauti haiwezi ikatembea sehemu tupu (in a space) sauti hutembea kupitia mawimbi ama ya maji, hewa au vitu kama chuma (metals) na mawimbi haya yanasababisha na Atoms na molecules, sasa sehemu tupu ambayo haina chochote katika hivi sauti haiwezi tembea kwakuwa hakuna njia zake.

wenye ufahamu zaidi wa sayansi wataongezea
 
Wadau naombeni jibu hapo kwa anaefahamu lkn lipo na swali la nyongeza ambalo ni je,sauti inaweza kusikika kwenye vacum/mahala tupu..?

karibuni..

Kwanza tuanze a vacuum ni nini? Nielewavyo mimi vacuum ni utupu, yaani sehemu isiyokuwa na kitu kabisa hata chembe chembe za hewa hakuna, sasa kwa hali ya kawaida 100% vacuum binadamu hawezi kuitengeneza hivyo kwa kifupi hakuna 100% vacuum hapa Duniani (nikimaanisha vacuum ya kutengenezwa), ila kilichopo na ukaribu tu wa vacuum kwa ajili ya matumizi ya kibinadamu!

Tuje kwenye swali nianze na lile la nyongeza, sidhani kama Sauti inaweza kusikika kwenye vacuum, kwa sababu Sauti ni mawimbi au niseme sauti inasafiri kwenye Mawimbi na ili Mawimbi yasafiri inahitajika kitu cha kuyasafirisha sasa kama vacuum ni tupu na hakuna kitu ina maana Mawimbi hayawezi kusafiri na kama hayawezi kusafiri ina maana basi Sauti haiwezi kusikika upande wa pili kwa maana hakuna cha kuisafirisha!
Kuhusu swali lako la msingi la kama Ndege anaweza kupaa kwenye vacuum , nafikiri ni swali gumu kidogo kwangu kwa maana vacuum haina kitu, hivyo nafikiri anaweza lkn hawezi kutua, bali atapaa milele!
 
Mkuu kwenye.vaccum hakuna.air..na.ndege anapotaka.kupaa huwa ana.push mabawa yake against.air..so.bila.hewa n.impossible

Na kuhusu saut n desgn kama.nayo.n impossible

Vacuum does not contain matter that the sound can interact with, in order to propagate.
Hivi mkuu kuna vacuum duniani
 
Kwanza tuanze a vacuum ni nini? Nielewavyo mimi vacuum ni utupu, yaani sehemu isiyokuwa na kitu kabisa hata chembe chembe za hewa hakuna, sasa kwa hali ya kawaida 100% vacuum binadamu hawezi kuitengeneza hivyo kwa kifupi hakuna 100% vacuum hapa Duniani (nikimaanisha vacuum ya kutengenezwa), ila kilichopo na ukaribu tu wa vacuum kwa ajili ya matumizi ya kibinadamu!

Tuje kwenye swali nianze na lile la nyongeza, sidhani kama Sauti inaweza kusikika kwenye vacuum, kwa sababu Sauti ni mawimbi au niseme sauti inasafiri kwenye Mawimbi na ili Mawimbi yasafiri inahitajika kitu cha kuyasafirisha sasa kama vacuum ni tupu na hakuna kitu ina maana Mawimbi hayawezi kusafiri na kama hayawezi kusafiri ina maana basi Sauti haiwezi kusikika upande wa pili kwa maana hakuna cha kuisafirisha!
Kuhusu swali lako la msingi la kama Ndege anaweza kupaa kwenye vacuum , nafikiri ni swali gumu kidogo kwangu kwa maana vacuum haina kitu, hivyo nafikiri anaweza lkn hawezi kutua, bali atapaa milele!
kwahiyo mkuu kumbe kwenye vacuum hakuna gravitation force.. na anga za mbali nazo ni vacuum
 
How can a living thing thag need Oxygen live in vaccum? What a question.
nilijua ntakutana na swali kama hili...
nadhani inaweza kufanyika njia ambayo ndege huyo atapata hewa bila kuisambaza mahala penye vacuum..
kama hiyo unaona haitawezekana tuchukulie mfano helcopter ambayo inaweza kuwa control kwa remote
 
Where is....target area.that sound..could reflect......at..vacuum?
 
kwahiyo mkuu kumbe kwenye vacuum hakuna gravitation force.. na anga za mbali nazo ni vacuum

Kama nilivyoandika kwamba sina uhakika sana kwa maana kuna mambo mengi, na kuna hili lililonijia kichwani baada ya kufikiria kidogo kuhusu Ndege kuweza kuruka kwenye vacuum, nimefikiria kwamba ili ndege aruke ni lazima kuwe na hewa/upepo ambayo ndiyo kwa kutumia mabawa yake humuwezesha kwenda mbele hivyo ili ndege aweze kwenye mbele au kuruka ni lazima kuwe na nguvu ya msuguano kati ya ndege/mabawa na hewa/upepo, sasa kama kwenye vacuum hakuna kitu ina maana hata hewa hakuna mabawa yatawezaje kumpeleka mbele ndege? Hivyo nafikiri hatoweza kuruka kwenye vacuum, ingawaje bado sina uhakika, ninaendelea kulifikiria!
 
Yaani vacuum ni sehemu isiyo na chochote kile hata hewa pia hakuna, na huwezi kupata vacuum asilimia mia hapa duniani na kwakua nature(asili) hairuhusu uwepo wa vacuum hivyo sehemu isiyo na kitu(vacuum huhitaji kujazwa na chochote huwa na tabia ya kufyonza, kunyonya vitu kujaza eneo tupu,ndio sababu hata chupa ya maji ikimiminwa maji hupishana na hewa, hivyo huyo ndege ama kitakachotiwa katika vacuum kitakuwa kinafyonzwa na hivyo kushindwa kufanya chochote, ama kuhusu gravity hiyo itategemea hiyo vacuum imetengenezwa wapi kama ni duniani basi gravity itaendelea kuwepo kwani gravity haihusiani na vacuum.
 
acceleration due to gravity kwenye vacuum huwa ni kubwa kuliko kwengineko ajili hamna friction na hewa ama kinginecho, hivyo napingana na wanaosema ati hamna gravity kwenye vacuum
 
nilijua ntakutana na swali kama hili...
nadhani inaweza kufanyika njia ambayo ndege huyo atapata hewa bila kuisambaza mahala penye vacuum..
kama hiyo unaona haitawezekana tuchukulie mfano helcopter ambayo inaweza kuwa control kwa remote[/QUOThen that will not be a vacuum any more.
 
Sauti haiwezi ikatembea sehemu tupu (in a space) sauti hutembea kupitia mawimbi ama ya maji, hewa au vitu kama chuma (metals) na mawimbi haya yanasababisha na Atoms na molecules, sasa sehemu tupu ambayo haina chochote katika hivi sauti haiwezi tembea kwakuwa hakuna njia zake.

wenye ufahamu zaidi wa sayansi wataongezea
Lakini space, kama unazungumzia anga za mbali,it isn't completely empty, bado kuna particles nyingi tu ingawa hakuna hewa
 
Profesa Mitcho Kaku wa College of New York alishawahi kuelezea issue kama hii katika mpango wa kutengeneza Gravity train ambayo inaweza kutoka New York to Hong Kong kwa 42 minute.Ingia you tube andika Gravity train.Mi nilidata kidogo..
 
Back
Top Bottom