Rene Jr. JF-Expert Member Joined Jan 31, 2014 Posts 3,714 Reaction score 2,376 Oct 10, 2016 #41 yonga said: Yai la chupa ya chai Click to expand... Umemueleza kirahisi, atadhani ni ndani ya yai ilhali ni katikati ya kuta mbili za yai la chupa ya chai. Ukivunja kuchungulia tayari unakuwa umeharibu si vacuum tena!
yonga said: Yai la chupa ya chai Click to expand... Umemueleza kirahisi, atadhani ni ndani ya yai ilhali ni katikati ya kuta mbili za yai la chupa ya chai. Ukivunja kuchungulia tayari unakuwa umeharibu si vacuum tena!