Ndege gani Cheap (Dar -Cape Town)?

Ndege gani Cheap (Dar -Cape Town)?

Wakuu nataka nikapumzike Cape Town kama siku 3 hivi. Ndege gani nitapata ticket cheap? Nimechek Rwandair, Ethiopian na Kenya Airways Direct flight to CPT ni maumivu matupu.
Kwani cheap ni sh ngapi? Kama unalinganisha na basi hakuna ndege cheap.
Nenda tunduma mpakani kuna magari binafsi mengi yanaenda SA uombe lift.
 
Back
Top Bottom