Mtoa uzi kasema hana hela ndo maana anataka cheap ticket, wewe na umaskini wako ushakuja kumvamia. Tumieni akili zenu ziwasaidie, msikae kama waganga wa kienyejiWenye hela hawaulizii humu
Ingia site za ndege twaap
Angalia price shwaa
Press booking waaang
Wait fo ze day au kama wewe ndo gold class siku hiyo hiyo sepa zako waaap😁🏃🏽♂️
Hesabu tu za kawaida hapo anatumia usd 450 kwenda tu, kwenda na kurudi 900 akati zipo ndege za usd 800 kwenda na kurudi. Sijui akili huwa mmeziweka kwenye matakoNenda na ATCL hadi Harare Kwa dollar 280 hivi then pale utachukua flight nyingine hadi South Africa Kwa dollar 175 hivi
Kurudi pia utatumia njia hiyo hiyo hivyo kujikuta ukitumia nauli Chini ya dollar 800 kwenda na kurudi
Safari njema kwenye utafutaji wa maisha 🤝
Hakukuwa na haja ya kuandika Lugha uliyoitumia, maana Kwa watu waliostaarabika huwa ni ya kuudhi.Hesabu tu za kawaida hapo anatumia usd 450 kwenda tu, kwenda na kurudi 900 akati zipo ndege za usd 800 kwenda na kurudi. Sijui akili huwa mmeziweka kwenye matako
Dar South African Airways hawapo siku hizi.DAR > CPT huwezi pata ticket chini ya $800 Go & return.
Labda utumie South african airways, na hapo ufanye booking mapema.
Kupumzika. Nimepata Malawian alrlines Kwa 304 USD (Dar+Joburg -Dar) halafu Joburg - CPT - Joburg nitakwea Flysafair. AsanteniUnaenda kupumzika au kuchoka?
Ndo unisaidie kushangaaDar South African Airways hawapo siku hizi.
Sawa mkuu safari njemaKupumzika. Nimepata Malawian alrlines Kwa 304 USD (Dar+Joburg -Dar) halafu Joburg - CPT - Joburg nitakwea Flysafair. Asanteni
Shukrani Mkuu.Sawa mkuu safari njema
Uwe mwangalifu ,Usalama SA jau, bado tunakuhitaji huku kwa mama Kizim mkazi.Kupumzika. Nimepata Malawian alrlines Kwa 304 USD (Dar+Joburg -Dar) halafu Joburg - CPT - Joburg nitakwea Flysafair. Asanteni
Mkuu shukrani Kwa tahadhari. Zaidi ya airport, hotelini, malls, beach na roben island siend popote zaidUwe mwangalifu ,Usalama SA jau, bado tunakuhitaji huku kwa mama Kizim mkazi.
Wakuu nataka nikapumzike Cape Town kama siku 3 hivi. Ndege gani nitapata ticket cheap? Nimechek Rwandair, Ethiopian na Kenya Airways Direct flight to CPT ni maumivu matupu.
Eg. KQ (Dar-CPT-Dar) 889 USD,
Dep: 11/05
Ret: 14/05
Mim napandaga Ethiopian airlines nikiwa naenda USA manake ndo shirika lenye bei nafuu kuliko yteWakuu nataka nikapumzike Cape Town kama siku 3 hivi. Ndege gani nitapata ticket cheap? Nimechek Rwandair, Ethiopian na Kenya Airways Direct flight to CPT ni maumivu matupu.
Eg. KQ (Dar-CPT-Dar) 889 USD,
Dep: 11/05
Ret: 14/05
Panda auric air ukiikosa panda airmalawiWakuu nataka nikapumzike Cape Town kama siku 3 hivi. Ndege gani nitapata ticket cheap? Nimechek Rwandair, Ethiopian na Kenya Airways Direct flight to CPT ni maumivu matupu.
Eg. KQ (Dar-CPT-Dar) 889 USD,
Dep: 11/05
Ret: 14/05