Mashamba Makubwa Nalima
JF-Expert Member
- Mar 19, 2024
- 4,978
- 2,411
Asante mkuu kwa mchango wakoNenda na ATCL hadi Harare Kwa dollar 280 hivi then pale utachukua flight nyingine hadi South Africa Kwa dollar 175 hivi
Kurudi pia utatumia njia hiyo hiyo hivyo kujikuta ukitumia nauli Chini ya dollar 800 kwenda na kurudi
Safari njema kwenye utafutaji wa maisha 🤝
okayCape town here I come!
Ungetaka rahisi ungebook toka jan 300+ usd.KQ 889 USD (return)
Ungetaka rahisi ungebook toka jan 300+ usd.
Ukae mwezi urudi.
Hiyo safari yako ya siku 4 ya kishua,
mshua .mwenyewe apeche alolo.
Allahu AkbarTakbiir
Shukrani Mkuu, umepanga kwenda lini huko Kwa Madiba?Asante mkuu kwa mchango wako