Ndege-gari?maajabu ya Dunia!

MIMI napenda sana filamu za james Bond 007, Roger Moore aliwahi kuigiza na gari kama hiyo, duniani kuna mambo
 
Its possible just technology plays its part!!
 
Kwa foleni za Dar es Salaam hii inafaa sana! Ukifika pale Kimara-Suka ukakuta li-foleni Unabadilisha gear unapaa mpaka PPF Tower down-town!
 
MIMI napenda sana filamu za james Bond 007, Roger Moore aliwahi kuigiza na gari kama hiyo, duniani kuna mambo

Tha filam was "The Man with the golden gun" aka Mr Scaramanga (Christopher Lee). The filam was made 1974. Mi nilikuwa nampenda "Supershort"

[ame]http://www.youtube.com/watch?v=nqGdh77TFgM[/ame]
 
Tha filam was "The Man with the golden gun" aka Mr Scaramanga (Christopher Lee). The filam was made 1974. Mi nilikuwa nampenda "Supershort"

http://www.youtube.com/watch?v=nqGdh77TFgM
ni kweli ni filamu hiyo Mr Scaramanga, bado naikmbuka, asante kwa link.
PAMOJA kwamba Filamu nyingi za Bond 007 ZIMEJAA technologia za kufikirika naamini kuna kitu wanakifikiria katika ulimwengu halisi, sasa fikiri juu ya filamu hiyo ya 1974, director aliwaza nini, hawa watu wanafikiri sana.
 
Vyote viwili. Ni Gari na pia ni Ndege
 
hahahahahaha safi sana.
wakikuzingua ardhini unakwea angani kudadeki
 
safi sana kwa bongo,tusaidie kupata bei ili sisi wa gongo la mboto tumpunguze kuwahi kamka asubuhi saa tisa kuwahi foleni ya tazara,chama,ilala
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…