TataMadiba
JF-Expert Member
- Feb 7, 2014
- 9,879
- 5,765
Hii inatusaidia nini?
Sidley Hawker njini za Rolls Royce, marubani wake walikuwa wanajeshi. Nakumbuka tulitoka nayo uwanja wa ndege Moshi ikapata hitilafu tukatua uwanja wa Kilimanjaro, baada ya marekebisho tukaendelea.
Unataka kila kitu kikusaidie,kikusaidieje,mcsenge nini!?..wewe umesaidia nini!?Hii inatusaidia nini?