Anasema hivyo raia kutoka Nchi maskini zaidi.....Russia watakuja kujuta sana hivi vita na vitaweka urais wa Putin mashakani sana.
Watajuta kuliko Ukraine?Russia watakuja kujuta sana hivi vita na vitaweka urais wa Putin mashakani sana.
Fake news usituletee habari fakeVita baina ya ndege Kwa Ndege, Urusi amepoteza mbili aina ya SU-35
The publication states that there was an air battle between two Ukrainian MiG-29 fighters and two Russian Su-35C fighters belonging to the Russian Air Force. According to the Ukrainian Air Force, the two Russian fighter jets were shot down using an S-300 missile system. The statement also said that a MiG-29 fighter belonging to Ukraine had crashed and the pilot was wanted.
Tanzania bila vita na Uganda huenda tungekuwa na uchumi mkubwa zaidi Afrika mashariki na Kati.Kama ni kweli ndo vita hivyo..Unajua vita vya Tanzania na Uganda tulipoteza watu wangapi na tuliandamwa na athari za kiuchumi kwa kiasi gani??
Kuanzia leo nitakuwa nasoma habari zako kwa uangalifu. Mtu mwenye akili sawasawa hawezi kubali bangi kama hizi, cha ajabu hata kiongozi wao wa serikali alipost hiyo videoVita baina ya ndege Kwa Ndege, Urusi amepoteza mbili aina ya SU-35
The publication states that there was an air battle between two Ukrainian MiG-29 fighters and two Russian Su-35C fighters belonging to the Russian Air Force. According to the Ukrainian Air Force, the two Russian fighter jets were shot down using an S-300 missile system. The statement also said that a MiG-29 fighter belonging to Ukraine had crashed and the pilot was wanted.
Unaota?Hii vita ni USSR reunification na utaifanya Urusi iwe powerful country in the world
Utakuwaje powerful bila kuwa na pesa?Hii vita ni USSR reunification na utaifanya Urusi iwe powerful country in the world
Teh teh kweli hii ni frustrationHii vita ni USSR reunification na utaifanya Urusi iwe powerful country in the world