Ndege tatu zanunuliwa kwa faida iliyotokana na ndege nane zilizopo

mwishoni umemaliza na namba ya simu kabisa,usijali watakuja watakufikia hapo ulipo
 
😁 😁 😁 😁 😁 😁 😁 😁 😁 😁 root za kigamboni to kariakoo kutakua na ndege pia,huko angani sijui itakuwaje na vile angani hakuna ata tuta
haha tulia mkuu haya ni Maendeleo makubwa sana
 
Hiyo faida imekuwa calculated na nani?
 
wewe uliyefika chuo kikuu umeelewa kweli alichoandika hapo?
 
Dah mkubwa, nimeishia kusoma hapo kuwa eti atcl wana soko Mauritania!
 
Mmelipa korosho za watanzania jamani eeehh?
Your browser is not able to display this video.
 
kumbe safar za katavi zinalipa sana
Mkuu kule kuna watalii kila siku sio chini ya watalii 100 wanapelekwa na chartered planes kwa utalii wa kuwinda,tena ni matajiri wa duniani kuna vitalu kule
 
OH NO you didn't just say that....

No you didn't...

Please tell me you did not!

ATCL? FAIDA?

Hiyo Dreamliner imeanza lini kwenda Marekani? Gatwick? China?

Mwezi wa 7 nilikuwa na safari ya Kusini ikabidi nitue Iringa na TC112 kwasababu ATCL ilikuwa imeondoa route ya Mbeya kipindi hicho. Hiyo demand kubwa mpaka kumwagikia unayoiongelea wewe ni ya lini?

Radar imenunuliwa awamu ya 5 mjomba?
 
ukiona mtu anaandika urojo kama huu afu kaweka namba yake ya simu ujue anatafuta UTEUZI ma..ma. eee
 
Unamaanisha ndege tausi waliopelekwa kenya au ndege kunguru wa zenj?!
 
Mpumbavu katika upumbavu wake ndo anaweza kuamnini huu upumbavu
Mtu akikwambia kitu cha kijinga kabisa-kabisa akijua kwamba unajua ni cha kijinga na wewe ukakubali, atakudharau sana _ Mwl. JKN

Excellent quote
 
Na kweli wewe ni Chakubanga!! hebu tupia hapa independently Audited accounts za hiyo ATCL tujiridhishe kwamba uhai umerejea!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…